Mchungaji TB Joshua Awa Gumzo Mitandao ya Kijamiii Baada ya Kutua Tanzania...Hivyo Ndivyo Watu Wanasema


Baada ya Ujio wa Mchungaji Maarufu Kutoka Nigeria TB Joshua Hapa Tanzania Siku ya Jana Kila mtu Anaongea yako kuhusu ugeni huo, Soma Hapa chini:


filbertmbwambo 
 Maswali magumu!
TB Joshua
1. Amekuja tz kushuudia kuapishwa kwa Magufu!?
2. Amekuja kuleta upatanisho!??
3. Amekuja kutoa maelekezo kuwa nani ni Rais halali??



mrekebishatabia
Ooh TB Joshua karibu tena na tena Tanzania...hata yeye pia hajakutana na EN Lowassa barabarani.
Tena bora amekuja maana nina list ndefu ya maombi maalumu. Huyu mtu nadhan si mchezo...si mnaona shati alilovaa?? Anafaa kabisa kutuombea watanzania hasa wenye mapepo ya Rangi mbali mbali.

udakutz_
TB Joshua baada ya kutua tu katika ardhi ya Tanzania alivua viatu na kanyaga ardhi ya bongo akiwa na soksi tu!! Hii ina maana gani?

linda_ukawa_supporter 
Naomba niwajuze kilichomleta TB Joshua kwa mujibu nilivyoelezwa na mtu wa karibu na Mbatia muda huu nikwamba kaja kunatafrija leo jioni na lengo lake kubwa ni kuwaeleza viongozi husika ukweli wa mambo kuwa mshindi wa urasis ni lowassa na km wanaweza wamuachie nchi maana kuna mapigo Mungu kamuonyesha kuwa watayapata kwa hiyo kaleta ujumbe wa Mungu ili kunawa mikono watakapo kaidi sauti ya Mungu.then km watakaidi pia wakimualika kwenye kumuapisha Magu atahudhuria km wageni wengine.maana yupo nchi kwa siku

mdaku_wa_town 
 IF THIS IS A STATE VISIT BASI LAZIMA SERIKALI ILIO IN POWER NDO IMPOKEE!. MIE SIMJUI HUYU JAMAA BUT NAISI NI MTU MWENYE POWER KWENYE AFRICAN SOCIETIES MIONGONI MWA VIONGOZI WA DINI. SO I GUES THATS WHY KAPATA MAPOKEZI YA KISERIKALI EVEN THOUGH KAJA KUTOA MESSAGE YAKE......PLUS HE WAS MORE COMFORTABLE KWA LOWASA KULIKO IKULU. CCM NI KUJISHAUWA TU WAMEMPOKEA BUT HAKUJA KI CCM. NI MAMBO YA PROTOCOL
Read more at http://websta.me/n/mdaku_wa_town#qRZiIzo8l0ig9zmj.99

Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. SIKU ZOTE MUNGU HUWA HALIPI/HAJIBU KAMA UKIMUOMBEA MWENZIO MABAYA,
    HAYO MUNAYOYAONA AU KUOMBA MIOYONI MWENU YATAYEYUKA NA MTAUMBUKA,NA MAISHA NDANI YA TANZANIA YATAENDELEA.NA RAIS NI MAGUFULI.MUNGU IBARIKI TANZANIA.

    ReplyDelete
  2. Wacha waseme lakini kuna siku watanyamaza tu.

    ReplyDelete
  3. Mtumishi wa Mungu mwenye maadili kamwe hawezi kufanya hivyo mnavyowaza nyie,na kama kungekuwa kuna hali ya ndivyo sivyo basi asingekanyaga ardhi ya Tanzania zaidi ya kuombea akiwa nchini kwake,hayo ya blabla Gwajima ndio anayaweza.

    ReplyDelete
  4. TB Joshua amemtaja Rais huyo mpya mteule JPJ Magufuli, kama Rais wa Tanzania wa Baraka na Fanaka tele katika awamu hii mpya.

    NANI AMENUNA??

    ReplyDelete
  5. Kwako 'linda_ukawa_supporter', hiyo nchi anayotoka TB Joshua 'kinanuka' daily, mara boko haram, mara wanafunzi wametekwa na mengine mengi ya ajabu ajabu. Je na hayo nayo ni mapigo? Walifanya kosa gani wenzetu?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Big up dear,mbulura huwa wanaropoka tu bila kina,tuwasamehe na kuwaombea.

      Delete
  6. Maswali mengine hayahitaji hata shule,angalieni habari zinavyosema,ni kwamba TB.Joshua kamsifu kikwete kwa kumaliza muda wake salama na kufanya uchaguzi wa"huru na haki"Hivi hapo kuna haja tena ya kutaka kusema rais yupi ni halali?ampatanishe nani na nani?kwa ugomvi upi au machafuko yepi?Sanasana hapo atamweka sawa muheshimiwa E.Lowasa,amuambie njia aliyotumia kuusaka urais siyo,amuombee apone siku ziende.Jamani Magufuli tangu mwanzo anaomba ridhaa ya kuongoza nchi amefuata mstari unaotakiwa bila kununua,kuhonga,wala kutukana,yeye ni kweli tuuuuuuuu mpaka hapo alipofikia,Yaani bado masaa anaapishwa.MUNGU IBARIKI TZ

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wameelewa na wasipoelewa ni umbulula walio nao,halafu kunywa soda.
      NAFWAAAAAAAAAAAA!

      Delete
  7. TUKUMBUKE KUCHUNGA MANENO YA VINYWA VYETU TB N MTUMISHI WA MUNGU NA NDIVYO ILIVYO (MSIMZIMISHE ROHO, MSITWEZE UNABII )

    ReplyDelete
  8. Jamani me huyu mtu simuoni kama wa ajabu sana ni kawaida sana. Mbona maalim Hussein aliyoyatabiri ndiyo yapo hadi sasa au nabii hasifiki kwao. Kwanza alitabiri kufa kwa viongozi mbalimbali na ndivyo ilivyotokea, pili alitabiri kuwa kati wagomba wakuu wawili mweny umri mdogo atakaye shinda na ndivyo ilivyotokea. Hapa hata angekuja Yesu au mtume Mohamad rais angemchagua Maghufuli tu ndiyo chaguo la MUNGU. Halafu UKAWA walimtumia ujumbe kuwa Lowasa kashinda kufika hapa wanaanza kuleta longolongo kuwa wamibiwa kura wakati wana Lowasa , Sumaye na CHIZI ambao ni wataalamu wa kuiba kura imkuwaje nyinyi? hata hii mmeshindwa? hamuwezi pata tena kwani mmeingiliwa na CIA, KGB na MOSAD sahau kabisa mwisho wa opposition TZ.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad