Mhubiri maarufu duniani TB Joshua wa kanisa la Church of All Nations nchini Nigeria ametua jijini Dar es salaam leo tayari kwa kushuhudia kuapishwa kwa Rais wa Awamu ya Tano Dkt. John Pombe Magufuli siku ya Alhamisi.
Mara tu baada ya kutua uwanja wa Ndeghe wa Kimataifa wa Julius Nyerere, TB Joshua alikwenda Ikulu moja kwa moja kumsalimia Rais Jakaya Mrisho Kikwete kumsabahi na kumpongeza kwa kufanikisha uchaguzi mkuu kwa uhuru na amani, huku akiondoka madarakani akiwa mtu mwenye furaha. TB Joshua amepongeza Rais Kikwete pia kwa kupata Dkt Magufuli kama mrithi wake, akimtaja Rais huyo mpya mteule kama Rais wa Tanzania wa Baraka na Fanaka tele katika awamu hii mpya.
Wanga wakubwa CCM
ReplyDeleteNever never rais anampokea mwanga ikulu shame you Kikwete
You our tax
Ee alitabiri Lowassa ndo rais. .hao ni haya kukanyaga TZ?
ReplyDeleteHakuwahi kutabiri hivyo,wewe umeota nadhani.
Deletehajatabiri hivyo
DeleteWatanzania wangapi hawajapata nafasi ya kuonana Na jk
ReplyDeleteKweli wakwere hawaachi jadi Na ndo pwani umaskini jadi Yao kisa kuamini uganga
Kawaida yetu wakwere bila fundi mambo hayaendi na usishangae kaja kuganga ya Zanzibar, ili watu watulie shame rais hadi ana kitengo cha uganga ikulu kwa pesa ya watanzania poleniiiiiii
DeleteKama mganga aseme mimi nani
Tulitegemea wangekuja wawekezaji wa maana Leo wanganga
ReplyDeleteZanzibar huyajui unangoja magufuli aapishwe umtwike jizo
Lakini Tanzania haitokusahau kwa yote uliyoyafanya
Mganga wa kwenu siyo
DeleteHatushangai wasaidizi wako vilaza
ReplyDeleteHakatazwi mtu kuonana na rais
ReplyDeleteAnjeonana na wanzanzibar wenye matatizo sasa
DeleteSiyo waganga
ACHENI UFALA KAMA HAMUJUI
ReplyDeleteACHANA NAO HAO,IMEKUWA WATAKE WASITAKE NA WATAELEWA TU.
DeleteMungu anawaona na andaeni majibu ya kashfa zenu, wewe unayesema kuna kitengo cha uganga Ikulu huenda huenda hujui hata eneo ikulu ilipo lakini eti ya ndan unayajua. msitake kutufanya maboya sana tunaakili zetu na tunaelewa, kama kuja kaja kama wagen wengine watakaohudhuria kuapishwa kwa rais IKO SIKU MTASIMAMIA KUCHA NA MANENO YENU YASIYO NA MAANA YANAWAZA UPUMBAVU TU halafu una mb 8 si bora uzifanyie kitu cha maana. muwe mnafikr kwa kutumia kichwa sio ma....ta..k
ReplyDelete