Mhubiri Maarufu Duniani TB Joshua Atua Tanzania, Apokelewa na Rais Kikwete Ikulu ...

Mhubiri maarufu duniani TB Joshua wa kanisa la Church of All Nations nchini Nigeria ametua jijini Dar es salaam leo tayari kwa kushuhudia kuapishwa kwa Rais wa Awamu ya Tano Dkt. John Pombe Magufuli siku ya Alhamisi.

Mara tu baada ya kutua uwanja wa Ndeghe wa Kimataifa wa Julius Nyerere, TB Joshua alikwenda Ikulu moja kwa moja kumsalimia Rais Jakaya Mrisho Kikwete kumsabahi na kumpongeza kwa kufanikisha uchaguzi mkuu kwa uhuru na amani, huku akiondoka madarakani akiwa mtu mwenye furaha. TB Joshua amepongeza Rais Kikwete pia kwa kupata Dkt Magufuli kama mrithi wake, akimtaja Rais huyo mpya mteule kama Rais wa Tanzania wa Baraka na Fanaka tele katika awamu hii mpya.
Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wanga wakubwa CCM
    Never never rais anampokea mwanga ikulu shame you Kikwete
    You our tax

    ReplyDelete
  2. Ee alitabiri Lowassa ndo rais. .hao ni haya kukanyaga TZ?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hakuwahi kutabiri hivyo,wewe umeota nadhani.

      Delete
    2. hajatabiri hivyo

      Delete
  3. Watanzania wangapi hawajapata nafasi ya kuonana Na jk
    Kweli wakwere hawaachi jadi Na ndo pwani umaskini jadi Yao kisa kuamini uganga

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kawaida yetu wakwere bila fundi mambo hayaendi na usishangae kaja kuganga ya Zanzibar, ili watu watulie shame rais hadi ana kitengo cha uganga ikulu kwa pesa ya watanzania poleniiiiiii
      Kama mganga aseme mimi nani

      Delete
  4. Tulitegemea wangekuja wawekezaji wa maana Leo wanganga
    Zanzibar huyajui unangoja magufuli aapishwe umtwike jizo
    Lakini Tanzania haitokusahau kwa yote uliyoyafanya

    ReplyDelete
  5. Hatushangai wasaidizi wako vilaza

    ReplyDelete
  6. Hakatazwi mtu kuonana na rais

    ReplyDelete
    Replies
    1. Anjeonana na wanzanzibar wenye matatizo sasa
      Siyo waganga

      Delete
  7. ACHENI UFALA KAMA HAMUJUI

    ReplyDelete
    Replies
    1. ACHANA NAO HAO,IMEKUWA WATAKE WASITAKE NA WATAELEWA TU.

      Delete
  8. Mungu anawaona na andaeni majibu ya kashfa zenu, wewe unayesema kuna kitengo cha uganga Ikulu huenda huenda hujui hata eneo ikulu ilipo lakini eti ya ndan unayajua. msitake kutufanya maboya sana tunaakili zetu na tunaelewa, kama kuja kaja kama wagen wengine watakaohudhuria kuapishwa kwa rais IKO SIKU MTASIMAMIA KUCHA NA MANENO YENU YASIYO NA MAANA YANAWAZA UPUMBAVU TU halafu una mb 8 si bora uzifanyie kitu cha maana. muwe mnafikr kwa kutumia kichwa sio ma....ta..k

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad