Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Awasweka Rumande Maofisa Ardhi 10 Kwa Masaa 6

Paul Makonda
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda leo amewaweka ndani kwa saa sita maofisa ardhi zaidi ya 10 huko Kawe baada ya kuchelewa kufika eneo walilokubaliana kukutana.

Makonda jana alikuwa amewataka Maofisa hao  kufika eneo la Nakasangwe Kata ya Wazo leo asubuhi kutoa ufafanuzi wa mgogoro wa ardhi lakini wao wakafika saa 5.

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mtajikomba sana
    Magufuli si mjinga kiasi hiki
    Makonda wewe acha ushoga huu

    ReplyDelete
  2. Anatafuta Kiki mtu huyu wa Kikwete Ili magufuli asimtoe

    ReplyDelete
  3. Anajua walichelewa kwa nn, na foleni za dar je, huo sasa Ni kutumia madaraka vibaya, na jeshi la polisi lichunguzwe, utamuwekaje ndani mtu kwa kuchelewa kufika, km yy hodari aanze na fire na polisi always wanafika maeneo ya ajali wamechelewa or baada ya majambazi kuibA na kuondoka,shame on you,kutaka Tu magufuli akuone mchapa kazi,

    ReplyDelete
    Replies
    1. HUYO P MAKONDA NI MCHAPAKAZI KWELI, ALIANZA KUCHAPA KAZI MARA TU BAADA YA KUTEULIWA NA JK, MUHESHIMIWA RAIS JPJM KAMKUTA NA UCHAPAKAZI WAKE........UPO.......HEBU JIZOESHE KUFUATILIA TAARIFA ZA HABARI, USIISHIE KUANGALIA ZE COMEDY TU...........HAPA KAZI TU

      Delete
  4. kuwaweka ndani yaani kuwasweka rumande.sijaelewa yaani aliwafikisha polisi kawe akamwamuru ocd awaweke selo.zipo taratibu za kipolisi mtuhumiwa kabla ya kuingizwa selo anaandikisha statement ya kufunguliwa jalada kisha anakabidhisha mali alizokua nazo mfukoni pamoja na kuvua viatu ndipo anaingizwa rumande au remand.sasa sijaelewa ilikua hivyo?pili unaposema maafisa ardhi jee walikuwa wanatoka wizarani au pale magomeni.tuje kwenye somo lenyewe.kama ni kweli basi huu ni ulevi wa madaraka,ni matumizi mabaya ya dhamana,ni unyanyasaji,ni kinyume kabisa cha maadili ya utawala bora.hatua stahiki ni mamlaka husika kumfukuza kazi.si kumuondoa wala kumhamisha ni KUMFUKUZA KAZI MAKONDA.

    ReplyDelete
  5. Msenge huyu
    Alitaka wamshughulikie wakataa
    Shoga hili

    ReplyDelete
  6. WAMESHAUZA KIWANJA KIMOJA KWA WATU ZAIDI YA WAWILI, WAFANYEJE ZAIDI YA KUJICHELEWESHA, WAKIDHANI DC ATACHOKA KUSUBIRI, IMEKULA KWAO....HAPA KAZI TU!!

    ReplyDelete
  7. Sawa,shauri lifunguliwe na watuhumiwa watajwe,vinginevyo hatua hii ya mkuu wa wilaya kama itaungwa mkono na mamlaka za juu basi mimi simo.vituko vitatawala nchi kama dola isiyoheshimu utawala unaoongozwa na weledi wa sheria.kamata weka ndani,kamata vua nguo,kamata search matakoni.hapendwi mtu,hapa kazi tuu.

    ReplyDelete
  8. kwa mwelekeo uliopo wa huu utawala wa sasa ni kwamba hawa viongozi wadogo wa ngazi za wilaya kwa sasa maeneo mengi nchini wanapigania kutafuta sifa pasi na kuzingatia sheria.wao wanadhani mhe.magufuli atawaunga mkono kwa kujichukulia sheria mikononi.kwa mwenendo wa kawaida wa kuheshimu na kujali utawala unaozingatia sheria,kama makonda ataendelea kuwa mkuu wa wilaya ni vyema wananchi tukamwambia mheshimiwa Rais kwamba tafsiri tunayoiona ya kutomfukuza kazi makonda inatuonyesha kwamba anamuunga mkono na inawezekana kwa kipindi hiki cha miaka mitano serikali ikajikuta imefunguliwa MAELFU YA KESI kutokana na viongozi kujiamulia kunyanyasa raia bila kufuata sheria.tusirudie somo la samaki wa Magufuli,serikali itaingia gharama kubwa sana sana.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad