Naipongeza Rasmi UKAWA Mpaka Hapa ilipofikia...Naiona CCM Kama Chama cha Upinzani Miaka Ijayo

Kwakweli kwa mtanzania anayefikiri kwa kina ataungana na mimi kwamba, pamoja na hujuma na figisufigisu nyingi zilizofanyika ambazo ziko wazi japo ukweli hausemwagi Tanzania, UKAWA kwakweli wameimarisha upinzani.

Ninachokiona mimi ni CCM kuwa chama cha kawaida cha upinzani siku za usoni.. Sasa hii itawezekanaje? Twende pamoja nitoe yangu ya moyoni

1. Niwakati sasa wakutambua kwamba kwakuunganisha nguvu ndo dawa pekee itakayosaidia kummaliza mtawala CCM. Kwa hili naomba niseme viongozi wa UKAWA zitambueni fitna zinazotimiwa na CCM kuwachonganisha na kuwagawa, naomba muwe werevu muwazidi akili zaidi shikamaneni.

2. Hakikisheni mnapigania kwa udi na uvumba kupatikana kwa katiba mpya yenye dira na muelekeo sahihi, itakayoweza kusema fulani kashinda mpeni haki yake,

3. Jikiteni Sasa kutoa elimu vijijini ambao wengin kwasababu hawazijui changamoto kali za maisha na wengine wakiamini kuwa CCM ni ile ile ya nyerere y ujamaa basi wa
naipa kura tu,

4. Dumisheni Democrasia kwa vyama vyote vya "UKAWA" viwe na haki sawa ya kutangazwa na kuimarishwa,

5. Tofauti na chama tawala nyie wekeni uwazi wa kila kitu kinachofanyika ili kuongeza imani za wafuasi

6. La mwisho kwa sasa, dumisheni kwa pamoja na kwa uhalisia kumtegemea Mungu aliyeumba majira na nyakati.

By H.T.
Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Akili zako hazipo kabisa wewe unategemea ukawa bado ukawa hiyo ni ukiwa sasa hivi hatakama hauna akili basi jiongeze unaandika kama vile umeandika ya maana kumbe ni madudu unategemea ukiwa itafufuka hiyo ndo nitolee tumeshaizika ,Mh Magufuli kasi alionayo akiendelea ndani ya miaka mitano unadhani kuna ukawa tena sahau hio sasa hivi alivotinga toka aingie ikulu ambao wanachuki ndo hawamsifii lakini mwenye akili timamu anajiongeza anaona nini kinafanyika sisi tunaendelea kumpongeza rais wetu Mungu amjalie afya iliawaonyeshe jinsi mtakakavyo uzika huo ukawa wenu kuongea ongea kote kutaisha..

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yaan wewe sijui mtanzania wa wapi ukawa ipo na it's enders kuwepo: kwsni ukawa ndio last hope for new generation

      Delete
    2. ilikuwa ukawa ya zama sio ya sasa mmsesha uzwa nyie subirini ACT ndo kitakuwa namatumaini kwa new Generation sio ukwa mliouza haki yenu kwa kupenda pesa na bado

      Delete
  2. taratibuuu tu na kumuomba Mwenyenzi Mungu tutafika tuuu.

    ReplyDelete
  3. Africa hakuna mungu ila kuna wanga Kama CCM

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unasema Africa hakuna Mungu wakati hewa unayo vuta hata kumi hujaitolea....sema wewe huna Mungu ila Mungu yupo ndo amaana unapumua achana na imani ambazo hazikuletei faida nawakati kutembea kwako na popote unapopita ni neema ya MUngu2

      Delete
  4. hakuna kitu hapo nchi huongozwa kwa katiba, busara na muono wa mambo sio maguvu, maguvu wanafanya makuli kikawaida

    ReplyDelete
  5. hahahahah!! Hizo ni ndoto za alinacha.......nikukumbushe kidogo....ilianza NCCR, ikaja TLP, ikaja CUF, ikaja Chadema.........next???

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad