VIDEO HAPA CHINI:
NANI Alisema Dr John Magufuli Ajui Kuongea Kingereza..Sasa Hapa Nimekuwekea Video Akimwaga Kingereza Mpaka Utafurahi
20
November 12, 2015
NANI Alisema Dr John Magufuli Ajui Kuongea Kingereza..Sasa Hapa Nimekuwekea Video Akimwaga Kingereza Mpaka Utafurahi
Nimekuwekea
Tags
Hiyo lafidhi bora aongee Kiswahili au kisukuma
ReplyDeleteMagufuli sio mueingereza hata umkosoe anavyoongea, ndio maana watanzania maendeleo hayapatikani sababu ya kuangalia vitu visivyo na maana. Ukiwa nchi za wenzetu mtu hajali anaongeaje na hakuna anayemcheka. Wewe kigereza chako kikoje?
DeleteAnaonekana anajua but he need to work on his pronunciation
ReplyDeleteLafidhi Ni tongue twist ya mtu...
ReplyDeletemr president Ni msukuma Na lafidhi lazima iwe ya kisukuma Na pia kwanza sio mzungu...so hawez Kung'ata maneno Kama amezaliwa hukpo...wazungu, wahindi, wachina kila mmoja anaswaga zake Na kinachozungumzwa kinasikika...
MAGUFURI Oyeeeee....!
Tizama m2 anauwezo gani wa kuleta maendeleo cyo lugha . Hata ukitembea nchi za watu maprofessor wanatumia lugha zao sana siyo ishu kutojua kiengereza
ReplyDeleteMkuu anakandamiza ngeri Anapiga chupping kabisa Anaweka na zege kabisa mother toung Ndo kivumbi na jasho
ReplyDeleteWatanzania (wengi kama sio wote) tumekikuta kiingereza mashuleni na vyuoni. Wengine tumemaliza vyuo vikuu tukiwa hatuwezi kuongea fluent English. Lazima tukubali kwamba we have got our languages. First is the mother tongue (mimi msukuma), second the national language (Kiswahili), then hiyo ya tatu Kizungu tumeijulia ukubwani. Binafsi nisingeona tatizo hata kama Magufuli angeongea Kiswahili, halafu anayetaka kusikia/kuelewa kwa lugha yake basi alete mkalimani wake. Wapo marais kibao duniani wanaongea kwa lugha zao hata kwenye mikutano mikubwa ya kimataifa, mwenye shida ya kuupata ujumbe kwa lugha yake atapata tafsiri accordingly.
ReplyDeletehapo bro nimekukubali tatizo la watz wanafikiria kujua kingereza ni kuwa na akili au kuwa intelligent which is not true. wengine waliokuwa wakisema hajui kingereza wenyewe hawajui. it is just a language
DeleteAnajua sana sema tu wabongo tunapenda kuiga ...sasa watu wanataka aige lafudhi za kizungu....
ReplyDeleteAnajua sana sema tu wabongo tunapenda kuiga ...sasa watu wanataka aige lafudhi za kizungu....
ReplyDeletelafudhi ni issue, unaposema rake instead of lake it makes a difference, sometimes inakuwa ngumu mtu kukuelewa.una maana gani. inshort brushup ni muhimu.
ReplyDeleteKingereza kitu gani bwana,wa-TZ tunataka mabadiliko ,tena bora awe anatumia kiswahili kabisa iwe moja kati ya madiliko anayokuja nayo.GOD BLESS TZ.
ReplyDeleteNipo marekani karibu ya miaka ishirini na nimemsikiliza magufuli anavyongea kiengereza kinatosha kabisa. Ukimlinganisha yeye na waziri mkuu wa India kwa kuongea kiengereza magufuli yupo juu kabisa. Kuna wale viongozi wa juu wa China ndio kabisa magufuli anaweza kuwa mwalimu wao. Hata ukiwasikiliza wagana na wanagiria basi utagundua magufuli yupo poa tu kilafdhi. Kiengereza chake kinatosha kabisa as his second or third language safi sana.
ReplyDeleteMdau kutoka Ny city.
Cha muhimu alokuwa akizungumza nae amemuelewa
ReplyDeletewarusi wanaongea lugha yao,wachina pia ,wajapani lugha yao,acheni ushamba English ni lugha kama kiha tu,
ReplyDeleteAkiwa vasco dagama atakijuwa tuu
ReplyDeleteMsikilize Ban Ki Moon anavyobonga Kiingreza. Hutampenda kama wee ni mpenzi wa tongue rolling. mwache President achape kazi
ReplyDeleteKwa sasa hatuhitaji kiingereza, tunataka maendeleo ya nchi na mtu mmojammoja .Isitoshe wanaojua ndio waliotufikisha hapa,Tunachelewa kwa kuwa tuna ng'ang'ana na lugha za watu,waulize mataifa mengine wameendelea kwa lugha za watu au kwa kufanya kazi?
ReplyDeleteMaendeleo huletwa kwa kufanya kazi,isitoshe wanaojua wametufikisha hapa tulipo,huko ni kuendeleza ukoloni,tumwache bwana afanye tunayohitaji kwa sasa.Ahsanteni wakuu.
ReplyDeletehata rais wa china alikuja tz aliongea kichina mkalimani akatafasili kwan hajui kingereza watz tuamke tuache ushamba kingereza si maendeleo tunayotaka.
Delete