Nape Nnauye Aanza Bunge Vibaya..Atoa Kauli za Kejeli na Vijembe...Chenge Aingilia Kati ..

Katika kipindi cha kuuliza maswali kwa wagombea nafasi za Upika,Mbunge mpya wa jimbo la Mtama Nape Nnauye aliyeuliza swali lilotafsiriwa na wabunge kuwa ni la kejeli na vijembe hali iliyomfanya mwenyekiti wa muda wa kikao Adrew Chenge kusema kuwa Swali la NAPE siyo Swali.Hata Ole Medeye wa chamdema alipopata nafasi alisema kuwa kinachomsumbua Nape ni utoto!

Swali lake lilikuwa Hili:

Nape: Nakushukuru, naitwa Nape mbunge wa Mtama. Kumbukumbu zinaonyesha ulishawahi kutolewa na ndugu Lema una tuhuma za ubaguzi, sijui tabia hizo umeshaacha!

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu kama sio bwabwa sijui.

    ReplyDelete
  2. NAPE NNAUYE BANGI ALIVUTIA MKUNDUNI.

    ReplyDelete
  3. Yeye na Makonda
    Ukimchaguwa huyu waziri ooooppppppppps
    Hafai au mpeleke naibu waziri jinsia na wanawake

    ReplyDelete
  4. Tipwatipwa kaolewa,ana mume msoga

    ReplyDelete
  5. uhuni wapi huyo ni mjinga sana hajielewi kabisa

    ReplyDelete
  6. Alaaaa, kumbe kunya anye kuku akinya bata kaharisha sio?? Hivi umemsikia Nape tu? Nape yeye ali-revenge, waloanza vijembe na maswali ya karaha ni hao wapinzani, kuna mbunge mwana-dada aliumuuliza Ndugai kwamba bunge lililopita alikuwa mbabe, je amejipangaje kuendeleza ule ubabe wake. mwenyekiti akalikataa kwa kusema sio swali...........mbona hilo hamsemi? Tunajua mmeumia sana sana kumuona Nape bungeni, tulishasema MTAISOMA NAMBA.........CCM MBELE KWA MBELE......HAPA KAZI TU

    ReplyDelete
    Replies
    1. KWAVILE HUMPENDI NAPE, NDIO KILA ASEMACHO NA AFANYACHO NI KIBAYA?? MNYONGE MNYONGENI, HAKI YAKE MPENI.........NAPE ANAJITAMBUA, NA UKAWA WAJIPANGE HAPO BUNGENI......KAMA MBWAI-MBWAI .......!!!

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad