Nchi Ina Wanafiki Sana wa Kisiasa...Ukawa Wamsusia Magufuli Uwanja wa Taifa ila Bungeni Wamejiandikisha Kwenda Kumsikiliza Kwasababu Kuna Posho-Habibu Mchange


Mwanasiasa Habibu Mchange Ameandika yafutayo katika ukurasa wake wa Facebook kuhusu Ukawa:

'Nchi ina WANAFIKI SANA WA KISIASA HII..
Ukawa wamesusia kuapishwa Rais lakini UKAWA HAO HAO wameenda Bungeni kujiandikisha kama watahudhuria hotuba ya Rais BUNGENI na wamelipwa posho inayoendana na shughuli hiyo. sasa hii ndio kusema Baniani Mbaya kiatu chake Dawa ama? Au kwa kuwa Uwanja wa Taifa hakukuwa na POSHO?.. kungekuwa na POSHO kama kawa asingesusa mtu?...ukiamua kususa unasusa jumla sio nusu nusu. Utapeli wa kisiasa wa namna hii haufai..wangesusia vyote! 
By Habibu Mchange
Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Umesema kweli kaka na bora wamekosa dola lasivyo wangeachiwa nchi tungechemsha kwa hawa UKAWA

    ReplyDelete
  2. Vipi hujui kama kinachowafanya wagombe ni kutafuta mtaji wa maisha??? Wanatudanganya ati wanata kusaidia watu kumbe nia yao kubwa ni kujisaida wao wenyewe. Wapo wakweli na wenye moyo nwa kutaka kusaidia jamii ila ni wachache sana ndio maana utaona hata mapanga huwa angani

    ReplyDelete
  3. Mwandishi hivi unadhani bungeni ni sawa na kibanda umiza unakwenda kuangalia movie tu. Umesomea wapi wewe? Yaonekana hujui kazi ya wabunge. Wakigoma majimboni mwao wananchi watatetewa na nani? Hizi shule za kata zinatuharibia uwezo wa kureason.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wangesusa vyote kwa kuwa wanaamini uchaguzi haukuwa halali,kuitikia kujiandikisha kuhudhuria hotuba ya bunge itakayotolewa na rais huyohuyo waliomsusa wakati anapishwa ndio tunaita unafiki wa kisisasa,kwa maneno mengine ndio umeambiwa baniani mbaya ila kiatu chake dawa?

      Delete
    2. Uhakika 100%kungekuwa na posho kwa wabunge uwanja wa taifa wangehudhuria tu.

      Delete
  4. WASUSE, WASISUSE, MAGUFULI NDIO RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA...................nani amenuna?????

    ReplyDelete
  5. LABDA TUNGEKUSIKIA WEWE MAALUN HABIB MCHANGE UNAYEJIITA NI MWANA SIASA ,ULIKUA UNASHAURI NINI KUHUSU WABUNGE WA UKAWA KUSHIRIKI BUNGENI.WEWE NI NANI HABIB SIJAKUELEWA,JUMBE WA NYUMBA 10 WA CCM AU TARISHI WA CCM KATA YA MCHAFUKOGE?WABUNGE WA UKAWA KATIKA BUNGE LA TANZANIA WAMECHAGULIWA NA WANANCHI,WANAKWENDA BUNGENI KWA MUJIBU WA MATOKEO.WABUNGE WA UKAWA SI WABUNGE WA KUPIKWA NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI [UNAWAJUA WALIOPIKWA NA TUME NA LEO HII WANANCHI WAMEGHADHIBIKA MNO WABUNGE WA UKAWA,WAMEPITA KIHALALI.BUNGENI NDIYO MAHALA PAO.UKINUNA BWIA UGOLO KWA WINGI.UMEZUNGUMZIA KUSUSIA SHEREHE ZA UWANJA WA TAIFA.NAOMBA USICHOKOZE NYUKI MCHANGE WEWE NI HAYAWANI MCHOVU USIE NA MBELE WALA NYUMA,BAHATI NZURI NAKUJUA NA,NIMESHAWAHI KUKUSAIDIA SANA.UMETUMWA WEWE,.SHEET.

    ReplyDelete
  6. UKWA WANAFATA POSHO TU HAWANA LOLOTE

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad