Ndugai: Hatuwezi Kumlipa Mtu Ambaye si Mtumishi wa Bunge...


  • Spika wa Bunge, Mh.Job Ndugai amesema kuwa, Bunge haliwezi kumlipa mtu ambaye sio Mtumishi wa Bunge kutokana na kanuni za Kihasibu.
  • Amesema hayo wakati alipotafutwa na Gazeti la Nipashe waliotaka ufafanuzi kile ambacho baadhi ya Wabunge kutaka posho zao zielekezwe Jimboni kwao mojamoja badala ya wao kuzipokea ,amesema Mbunge anayetaka hivyo ni vyema akachukua Posho hiyo na kuipeleka Mwenyewe Jimboni kwake
  • Pia amedai swala lakufuta Posho ni ligumu kutokana na Kwa sababu za kiusalama Wabunge wanapaswa kukaa katika hoteli zenye hadhi na usalama wakutosha, Hivyo labda kuwepo na uwezekano wakuangalia jinsi ya kuzipunguza.

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwani huo mshahara pekee hauwatoshi?? Wakati hapo bungeni kazi yenu kubwa ni kusinzia, mipasho na madongo kwa madongo, huku wafanyakazi wengine wa serikali kama walimu, doctors hasa wale we kima cha chini wanaishi kwa mshahara tu, MNATUNYONYA BANA...........

    ReplyDelete
  2. KWENYE HILI LA POSHO NA MALIPO MENGINE, WABUNGE WOTE MKO PAMOJA, IKIFIKA KUJADILI MASLAHI YA NCHI NA WANANCHI, WENGINE WANASUSIA NAKUTOKA NJE. KWAKWELI KIPATO MNACHOPATA HAKILINGANI NA TIJA TUNAYOTEGEMEA TOKA KWENU......HEBU ONENI AIBU MFUTE HIZO POSHO, MSHAHARA UNAWATOSHA

    ReplyDelete
  3. Kwa nini isijengwe hoteli ya serikali hapo hapo karibu na bunge

    ReplyDelete
  4. Wanachukua posho kubwa, wanaenda kujazana vi-guest vya mtaani. Asema hao wabunge wanaishi hoteli zipi dodoma?

    ReplyDelete
  5. Dodoma hotel ni shilingi 60, 000, hii hizo hotels wanazosema zimepanda bei zipo anga ya wapi dodoma hii. Na wangapi wanalipa hiyo 60, 000 na kukaa dodoma hotel? Almost 1% ya wabunge wanakaa dodoma hotel.

    ReplyDelete
  6. Dodoma hotel ni shilingi 60, 000, hii hizo hotels wanazosema zimepanda bei zipo anga ya wapi dodoma hii. Na wangapi wanalipa hiyo 60, 000 na kukaa dodoma hotel? Almost 1% ya wabunge wanakaa dodoma hotel.

    ReplyDelete
  7. Waongo, wabunge wengi wanaishi kwenye mijengo Yao apa dom, isitoshe walijengewa flat Area D hawataki kwenda kukaa, spika anatetea tu onesheni uzalendo futeni posho hizo walalahoi tunaumia

    ReplyDelete
  8. Una lako Jambo
    Kwani shida ipo wapi si mnapeleka kwenye account mliyoagizwa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad