Picha za Kwanza Kutoka Uwanja wa Taifa Kwenye Tukio la Kuapishwa Kwa Dk John Pombe Magufuli...Watu Wafurika Wengine Wakosa Nafasi ya Kuingia

Leo  Rais  mteule  wa  awamu  ya  tano, Dk. John Magufuli anaapishwa  rasmi  ambapo  asubuhi  hii  viongozi  mbalimbali  wanaendelea  kuwasili  uwanja  wa  uhuru  kushuhudia  sherehe  hizi.
  
Watu  ni  wengi  sana, mvua  nayo  inanyesha  kuonyesha  ni  tukio  lenye  baraka

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. SIKU ZOTE WANA CCM HATUJUI KUTOFAUTISHA KATI YA SHEREHE ZA CHAMA NA ZA KITAIFA,SS KAMA HAPO HIO MIGUO YA NJANO NA KIJANI YA KAZI GANI?WAKATI HIO SHEREHE NI YA TAIFA ZIMA

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wana CCM tuliposikia kwamba ukawa 'wamesusa', tukaona kwanini tujibane bane, tukatupia 'mamboyetu' tukajiachia kwa raha zetu, na uwanja ukajaa tele..............KULINOGAJE....???

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad