Rais Kikwete Afanya Mazungumzo na Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif - Ikulu ya Dar

Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania amefanya mazungumzo na makamu wa rais wa kwanza kisiwani Zanzibar ambaye ndiye mgombea Urais kupitia tiketi ya chama cha upinzani (CUF) Maalim Seif katika Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Hatua hiyo inajiri wakati ambapo kuna tofauti za kisiasa kisiwani Zanzibar baada ya Tume ya Uchaguzi(ZEC) kufuta matokeo ya uchaguzi uliofanyika . 

Video:

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Seif inabidi ukaze sio anakulainisha Na kuhongwa pesa tunataka badiliko

    ReplyDelete
  2. Hatuusikii kichongelewa Seif usilege lege

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad