BREAKING NEWS: TB Joshua Avunja Ukimya.. Aandika Meseji Hiii Hapa Kuhusu Edward Lowassa

T.B. Joshua has broken his silence on the several meetings he has held with Tanzania’s Former Prime Minister Edward Lowassa since his arrival in the country this week.


Using the social media platforms of Facebook, Twitter and Instagram, the respected Nigerian cleric said,

Many times, God speaks blessing and breakthrough through pain and disappointment. My dear Former Prime Minister, what happened is to prepare you for the future. We learn obedience by the things we face. I mean, by what we suffer.”

 This comes as another picture was shared on social media showing Lowassa and the Nigerian pastor eating together at a restaurant in Dar es Salaam.


Joshua caused a surprise with his failure to show up at the presidential inauguration of his friend Dr John Magufuli, especially after his high-profile arrival in the country.



Lowassa has announced he will address the nation of Tanzania on Sunday 8th November 2015.
Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ooopooooooooops

    ReplyDelete
  2. Tanzanian
    Need what's going in Zanzibar now

    ReplyDelete
  3. LOWASA NI MJINGA FASIDI MKUBWA

    ReplyDelete
    Replies
    1. Msenge wewe na ukoo wako
      Mna laana

      Delete
  4. Zanzibarrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
    Kiboko yao
    Tanganyika wajinga na wapumbavu kama alivyosema mkapa
    Mtakubali vipi kuibiwa kura

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mimi ni Mtanganyika. Na Watanganyika kweli ni Wajinga na Wapumbavu. Wavivu wa kufikiri na elimu ndogo. Mtakubali namna gani kumwapisha Raisi wa Muungano wa nchi mbili zilizoungana na kuibwaga Zanzibar bila kuwajali kuwa binadamu. Huu UCCM ni nini. Unamkumbatia Bepari wa nje anaye kuamuru kila ufanyalo na kumdharalisha Mtanzania mwenzako. Ni lini nyie Watu mtafunguka macho. Waingereza, Wamarekani, Wachina ambao Pombe amewaomba washirikiane naye. Bila kumwona Mzanzibari mtanzania mwenzako unamkosesha Uhuru, Maendeleo na unaua uchumi wake. Wewe CCM umetoa kigamboni kwa mashemeji zako Wamarekani, Waarabu bila haya. Kikwete katoka kabwaga nchi baada ya kuwaingiza WatanZania kwenye midomo na makucha ya ubepari. Ni hao wanayemwambia uchaguzi umekwenda sawa, licha ya Watanzania kuona visivyo, Kajitokea kimya na kujikalia kwenye ufahari.
      Magufuri kaja wala hajatamka kuhusu Zanzibar. Kama ni raisi hana fikra safi. Utatawala nchi kwa namna gani. Umependelewa huna ujasiri na huna imani na Mungu. Ungekuwa nayo ungeweka Tatizo la Zanzibar namba moja, Ukawa wameshinda. Tatizo ni nini?

      Delete
  5. Yaliyopita si ndwele, Yamepita yapi. Wapumbavu mnaosukumwa bila elimu.
    Kosa kila kitu pata elimu, utajikomboa kifikra. Ukiwa mbumbumbu, ni maskini mpaka kufa.
    Huna kitu. Ni kama gogo lililokufa likitembea.

    ReplyDelete
  6. ukawa bado mna hasira magufuli ndio rais , kwakuwa alipata kura za kutosha na sasa ni kazi tu, nawashauri jipangeni miaka mitano ijayo kwani sasa tumeshaanza ukurasa mpya, magufuli ndiye si mwingineyo pole kwa kutokuwa chaguo lako lakini wengi walimpenda.

    ReplyDelete
  7. Viva Magufuli! Chapa kazi Our President!

    ReplyDelete
  8. Tanzania wajinga ni wengi sana, sijui kwa vile tu washabiki? wenye macho na wadadisi wanaelewa kwa undani yaliyofanyika wakati wa uchaguzi.tunamwachia Mungu Tu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad