Speed ya Wadada Kuwa Weupe Inakua Kwa Kasi Sana.....Kuna Siri Gani ?

WANAWAKE NA UREMBO ....Kwanini wanawake wengi hupenda kuwa weupe au kujichubua? Au niwaulize akina kaka mnavutiwa na Rangi gani kwa wanawake?? Maana speed ya watu kuwa weupe inakua kwa kasi sana. Watu wanakimbia Rangi zao...
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Don't understand woman huku Ulaya wakati wa sommer time wanawake wengi pia baadhi ya wanaume wa kizungu hujianika juani kwa masaa kibao ili rangi za ngozi zao zibadilike na kuwa brown rangi ya ngozi yao ya asili ambayo dada zetu hawaipendi wengine hudiriki kwenda kwenye studio ambazo huwekwa mionzi artificial ya jua(hapa Ujerumani wanaziita"SONNEN STUDIO" ili rangi zao za mwili zibadilike ziwe za brown matokeo yake baadhi yao hupatwa na skin cancer(saratani ya ngozi)duh!Urembo una gharama zake

    ReplyDelete
  2. Weusi nao unatafutwa jaman sijui kwa nini hatuutaki

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad