Taarifa Kuhusu Mkutano wa Chadema Uliyopangwa Kufanyika Viwanja vya Jagwani Ambapo Lowassa Atahutubia Hii Hapa

Taarifa inatolewa kwa wapenzi, mashabiki, wafuasi na wanachama wa CHADEMA, wanaUKAWA na umma wa Watanzania wote wapenda mabadiliko kwa ujumla kuhusu mkutano mkubwa wa hadhara wa kesho katika Viwanja vya Jangwani, jijini Dar Es Salaam ambao umeshatangazwa kwa njia mbalimbali za upashanaji habari, umeahirishwa hadi hapo maelekezo na utaratibu mwingine utakapotolewa baadae.
Ni vyema kuwataarifu ujumbe huu mapema maelfu ya Watanzania ambao tunajua wamejiandaa kuhudhuria kwa wingi kusikia 'neno kutoka kwa Rais wa Mioyo ya Watanzania' na viongozi wakuu wa vyama vinavyounda UKAWA juu ya uelekeo wa nchi kwenye mkutano huo ambao pia ulilenga kuwatambulisha wabunge wote wa UKAWA na kuwashukuru Watanzania kwa namna walivyounga mkono agenda za MABADILIKO kwenye mapambano makubwa ya ushindi wakiwa begabega na Jemadari Lowassa, Babu Duni, wagombea ubunge na udiwani wa UKAWA.

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. CCM wasenge wote

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyo Lowasa unayemuabudu kwa fedha yake ni CCM damu, na yeye pia yumo katika hilo kundi la wasenge......

      Delete
  2. Utatukana sana ila ndio hao wako ikulu na watakuburuza sana,,, ndio maana hata uraisi mmekosa kwa matusibhayo ikulu kungekalikaaa,,,, popooo bawaaaa,,, pole na siasa zako za mihemko na kutukana chama,,,,, ambacho kitawabura miaka 100,,,, mjipange upya Fisadi papa leo kumuona msafiiiii haloooo halooooo,,,, uchu wa madaraka utawatoa roho.

    ReplyDelete
  3. Utatukana sana ila ndio hao wako ikulu na watakuburuza sana,,, ndio maana hata uraisi mmekosa kwa matusibhayo ikulu kungekalikaaa,,,, popooo bawaaaa,,, pole na siasa zako za mihemko na kutukana chama,,,,, ambacho kitawabura miaka 100,,,, mjipange upya Fisadi papa leo kumuona msafiiiii haloooo halooooo,,,, uchu wa madaraka utawatoa roho.

    ReplyDelete
    Replies
    1. watanganyika wote mnaburuzwa kwani wwe kuwa shabiki la ccm umepata nni au wa ukawa kapata nni jua kuwa wanaonufaika ni wachache kwa kuachiana nafasi acha jazba hata wakikaa miaka 200 haina shida. jiulize wewe ni nani unayepata mihemko????

      Delete
    2. kama ni hivyo basi wote tupige kimya, mbona nyinyi ndio mnahaha na mapovu kuwatoka

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad