Rudi kwenye videos zake uone,mara nyingi sana hupenda kuwa bila viatu na kumbuka sio kwamba kavua viatu baada ya kutua ardhi ya TZ,hata kwenye ndege alikuwa hana viatu.
Binafsi sijui maana yake, hebu tufafanulieni jamani, kama airport yetu ni safi au nini. Au pengine dhehebu lake ni kama la wale wanaovaa nguo za rangi ya brown hapa TZ, ambao hawavai viatu kabisa.
hili lina maana kubwa ki Bibria (kutokana na mafundisho niliyoyapata kutoka kwa Kristopher Mwakasege ) japo linaweza kutumika kwa pande zote mbili (Mungu/giza)na likawa na maana ileile pia huambatana na maneno yan huwa kunavitu wanatamka ili KUTEKA/KUKOMBOA eneo husika.
ayo mambo ni ya kiroho zaid wapenz, Mungu anasema kwny neon lake kila mahali utakapokanyaga miguu yako nmekupa wewe. so alivokanyaga ardhi hii ni ishara ya kuitawala na kuimilik ardhi ya TZ
Mbon mnamuongea sana, mbon ni mtu wa kawaida tu!!!!!!!!!!! udak udak ya Lowassa na kampen za mafurik zimekwish sasa munakos cha kuandik, mulizan Lowassa atashind sasa munajut ku msapoti. Sasa munaanz kutafut ya kwaandik.
Hata angekuja uchi hana mpango Tatizo wa waafrica wanaamini sana uchawi Ulaya imeendelea bila hizi imani potofu usishangae hata serikali imelipia kuja kwake,
watoa comment wengi hapo juu kuandika Kiswahili ni zero kabisa,wala havieleweki wanavyoandika na ni lugha ya taifa,kweli mamvi aliposema elimu,elimu,elimu hakukosea.
Yes!Mdau wa hapo juu"11:07PM"Umenena point moja muhimu sana kuhusu kukiandika Kiswahili fasaha inasikitisha sana kuona wengi wanaotoa comments magazetini huwa wanaandika broken Swahili kama vile sio Watanzania kwani pia hata waandishi wa habari nao pia huchangia kukiandika Kiswahili kibovu mfano kuna mmoja ameandika neno "BIBRIA"Badala ya"BIBLIA"wanatuletea Kiswahili cha Kihaya mara nyingi wanashindwa kutofautisha ni wapi inahitajika herufi"R"na"L"Kweli Elimu bongo inahitajika sana sana sana ama sivyo tunakoelekea kielimu itakuwa ni kiza kitupu maana ni aibu kubwa kama mtu anashindwa kuiandika lugha yake mwenyewe kiufasaha
Ni mapenzi tu,ni sawa na mtu kubusu ardhi mara anapotua
ReplyDeletemahali anapokwenda.
Rudi kwenye videos zake uone,mara nyingi sana hupenda kuwa bila viatu na kumbuka sio kwamba kavua viatu baada ya kutua ardhi ya TZ,hata kwenye ndege alikuwa hana viatu.
ReplyDeleteUlijuaje kwenye ndege hakuwa amevaa viatu....
DeleteMUNGU NDIO MKUBWA KAJA KUMDANGANYA LOWASA
ReplyDeleteBinafsi sijui maana yake, hebu tufafanulieni jamani, kama airport yetu ni safi au nini. Au pengine dhehebu lake ni kama la wale wanaovaa nguo za rangi ya brown hapa TZ, ambao hawavai viatu kabisa.
ReplyDeleteWAPI GWAJIMA NA LOWASSA
ReplyDeleteYesu, alifanya hivyo kila alipokuwa akiingia mahala patakatifu!!! Nahisi hilo ndo lengo hasa
ReplyDeletehili lina maana kubwa ki Bibria (kutokana na mafundisho niliyoyapata kutoka kwa Kristopher Mwakasege ) japo linaweza kutumika kwa pande zote mbili (Mungu/giza)na likawa na maana ileile pia huambatana na maneno yan huwa kunavitu wanatamka ili KUTEKA/KUKOMBOA eneo husika.
ReplyDeleteayo mambo ni ya kiroho zaid wapenz, Mungu anasema kwny neon lake kila mahali utakapokanyaga miguu yako nmekupa wewe. so alivokanyaga ardhi hii ni ishara ya kuitawala na kuimilik ardhi ya TZ
ReplyDeleteMbon mnamuongea sana, mbon ni mtu wa kawaida tu!!!!!!!!!!! udak udak ya Lowassa na kampen za mafurik zimekwish sasa munakos cha kuandik, mulizan Lowassa atashind sasa munajut ku msapoti. Sasa munaanz kutafut ya kwaandik.
ReplyDeleteHata angekuja uchi hana mpango
ReplyDeleteTatizo wa waafrica wanaamini sana uchawi
Ulaya imeendelea bila hizi imani potofu usishangae hata serikali imelipia kuja kwake,
watoa comment wengi hapo juu kuandika Kiswahili ni zero kabisa,wala havieleweki wanavyoandika na ni lugha ya taifa,kweli mamvi aliposema elimu,elimu,elimu hakukosea.
ReplyDeleteYes!Mdau wa hapo juu"11:07PM"Umenena point moja muhimu sana kuhusu kukiandika Kiswahili fasaha inasikitisha sana kuona wengi wanaotoa comments magazetini huwa wanaandika broken Swahili kama vile sio Watanzania kwani pia hata waandishi wa habari nao pia huchangia kukiandika Kiswahili kibovu mfano kuna mmoja ameandika neno "BIBRIA"Badala ya"BIBLIA"wanatuletea Kiswahili cha Kihaya mara nyingi wanashindwa kutofautisha ni wapi inahitajika herufi"R"na"L"Kweli Elimu bongo inahitajika sana sana sana ama sivyo tunakoelekea kielimu itakuwa ni kiza kitupu maana ni aibu kubwa kama mtu anashindwa kuiandika lugha yake mwenyewe kiufasaha
ReplyDeleteJaribu kulinganisha na Isaya 20:1- unaweza kupata kitu...
ReplyDelete