Uhuru Kenyatta Asifia Demokrasia ya Tanzania

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ameipongeza Tanzania kwa namna ilivyoonesha ukomavu katika demokrasia baada ya uchaguzi.

Kenya alikuwa mmoja wa viongozi wa Afrika waliohudhuria kuapishwa kwa Rais wa awamu ya tano wa Tanzania, Dokta John Magufuli.

I joined other Heads of State and Government for a state luncheon at State House gardens in Dar es Salaam following a colourful swearing-in ceremony of Dr. John Pombe Magufuli as the fifth President of Tanzania. I commended the people of Tanzania for the manner in which the country has distinguished herself over the years as a leading beacon of democracy in Africa.

The election of Dr. Magufuli is a re-confirmation of the desire for continuity with the policies of the ruling party which is credited with the national cohesion and development that the country has enjoyed since independence. I assured President Magufuli of my full support and desire to forge even closer bonds of friendship, entrenching further our integration agenda and indeed, uplifting the welfare of our people.

Tafsiri:

Niliungana na Viongozi Wakuu wengine wa ki-Serikali kwenye bustani za Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kuapishwa kwa Rais Dk John Magufuli ambaye anakuwa kiongozi wa tano kushika wadhifa huo nchini Tanzania.

Ninawapongeza watu wa Tanzania kwa namna ambavyo wamejidhihirisha kwa miaka mingi kuwa vinara wa demokrasia barani Afrika. Kuchaguliwa kwa Dk Magufuli ni uthibitisho wa shauku ya kuendeleza sera za chama kinachotawala ambacho kinasifiwa kusimamia umoja wa kitaifa na maendeleo tangu uhuru.

Nilimhakikishia Rais Magufuli kuwa nitamuunga mkono na nina nia ya kuendeleza ukaribu wetu wa kirafiki na kuhimiza mshikamano wetu wa kuendeleza ajenda ya ushirikiano wa karibu kwa malengo ya kuinua ustawi wa watu wetu.

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tanzania kwa sasa ni koloni la biashara na uchumi la kenya[critical trading and economical imbalance]wanamuangalia magufuli kwa hofu kubwa.

    ReplyDelete
  2. Ntasifia sana
    Lakini aujuwaye wali mpishi
    Uchaguzi ulikuwa mpira wa kona

    ReplyDelete
  3. Tatizo la Africa siyo demokrasi ila ni tume za uchaguzi
    Nchi nyingi za Africa zinafanya kiini macho ili kuwalidhisha wazungu kwa kuogopa kutopewa misaada hata Tanzania bara uchaguzi wizi mtupu wa kura

    ReplyDelete
  4. UNAUHAKIKA KIASI GANI NA USEMI WAKO WEWE ANONYMUOS WA 2:55 AM

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad