Kikao cha Kamati ya wabunge wa CCM kilichofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa NEC maarufu kama Whitehouse kimempitisha Dkt Tulia Ackson Mwansasu kuwa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi katika nafasi ya Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kamati ya Uongozi ilipitisha majina matatu ya Mhe Bahati Abeid, Mhe Mariam Kisangi na Dkt Tulia Ackson Mwansasu ambapo Dkt Tulia aliibuka mshindi baada ya wawili kujitoa na kumuunga mkono Dr Tulia.
Dk Tulia awali alikua akigombea nafasi ya Spika kabla ya kuingia katika mtanange wa Naibu Spika.
Aidha Naibu Mwanasheria huyo wa zamani aliteuliwa juzi na Rais Dk John Magufuli kuwa Mbunge wa kuteuliwa na Rais.
UNAIBU SPIKA: Wabunge Wa CCM Wamchagua Dk. Tulia Ackson Kugombea Nafasi Hiyo
4
November 18, 2015
Tags
Chezea Migoro wewe Na Kikwete
ReplyDeletePoke Mafunguo
Utachaguliwa kila mtu
Kisa M 200
MITA 200 ILIYOYAPINDUA MATARAJIO YA MAMILION YA WATANZANIA WAPIGA KURA CHINI YA ULINZI MKALI TUKAAMBIWA TURUDI TUKALALE MATOKEO TUFUATILIE REDIONI NA MAGAZETINI KILICHOTOKEA,WIZI MKUBWA WA KUTISHA WA KURA NA TARAKIMU,HAIELEZEKI KIRAHISI..HUYU TULIA WAKILI WA SERIKALI ALISHINDILIA ITOKE AMRI NA MAJAJI WAKATOA AMRI,UKISHA PIGA KURA USIONEKANE HATA MTAANI,MAKUSANYIKO MARUFUKU,ASKARI NA SILAHA ZA MOTO MAGARI YA DELAYA,VIKOSI VYOTE VYA DOLA KIILA KONA,KAILIMA NA JANUARI CHUKUENI POSITION.SASA MAGUFULI ANAMLETA BUNGENI,KARIBU SANA.
ReplyDeleteHakuinza Leo hii
ReplyDeleteTatizo ni mfumo wetu , usalama wa taifa
Migiro alipochaguliwa kuwa waziri wa Njinsia na dada yake mzazi akateuliwa kuwa katibu mkuu wizara hiyo , uteuzi wa katibu Mwatumu Malale ukatenguliwa ghafla sasa sijui watu wanakuwa wapi lakini ndo CCM hiyo
Enzi ya Mkapa
DeleteAibu CCM
Lakini bado wanawapa kura nashangaaaaaaaaaaaaaa