Uoga wa Zitto Kabwe kwa Tulia Ackson

Dk.Tulia Ackson
Jamii ya wanazuoni imekuwa ikijiuliza ni kwanini mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe anampiga vita mgombea unaibu spika Dk.Tulia Ackson.

Wanahoji ni kwanini Zitto Kabwe anamhofia huyu mwanamama wakati ana vigezo vyote vinavyompa "credibility" ya kugombea.Imefikia hatua Zitto anamnadi Mussa Azzan ambaye ni mbunge wa Ccm na kusahau kuwa yeye ni mpinzani ndani na nje ya bunge.

Hapa ndipo dhana ya usaliti kwa Zitto Kabwe inapozidi kumea kwenye masikio ya watanzania.Zitto Kabwe hataki kukubali kuwa siasa ya bunge sio yake peke yake.

Mnakumbuka sakata la aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa TPDC ambaye PAC ikiongozwa na Zitto Kabwe iliamuru akamatwe na kuwasilishwa polisi!?Tena kwa makosa ambayo PAC ilikuja kuangukia pua!!

Namzungumzia Andilile Mwainyekule.Huyu ni mume wa ndoa wa Dk.Tulia Ackson. Zitto Kabwe anauona ugumu wa yeye kuiyumbisha serikali kwa skendo za kupika kama kiti kitasimamiwa na Dk.Tulia Ackson.

Zitto Kabwe anahofia Dk.Tulia Ackson kutumia mwanya wa kujua kwa undani sakata la TPDC na kuiokoa serikali na hoja ambazo Zitto Kabwe anategemea kuziibua na kuziendeleza.

Suala hapa sio unaibu spika bali ni maslahi ya mifuko ya Zitto Kabwe na hatma ya maisha yake ya kisiasa.

Source:Jamii Forums

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nimesoma cjaona cha maana. Inaonesha Huna hoja za kitaifa bali inamajungu na chuki Zidi ya mtu. Hakuna mwanasiasa mzalendo Kama kabwe na toka aingie bungeni hajawahi kuwa na hoja nyepesi. Utamwita msaliti kwa sababu binafc lkn zito ni mbunge anayesimamia anachokiamini na kwa maskahi ya taifa na anasema na kutenda. Mfano posho za wabunge alikemea na kukataa kuchukua wengine wanaongea kwa kufurahisha umma tu. Lete hoja za kitaifa Co majungu. Huyu mama ni msomi na mwanasheria lkn hanauzoefu wa kuwa mbunge wala kufanya kazi bungeni. Pili anatoka Ofisi ya mwanasheria na Ndo Ofisi unayohiska na mikataba mibovu ya serikali. Hivi ikitokea bunge linataka kuhoji au kuchunguza mikataba mibovu Kama hii ya gesi na huyo mam yuko pale mbele unazani anaweza kutoa uhuru wa kutosha kuichambua Ofisi ambaye Yeye alikuwa huko. Usikurupuke fikiri kwa kina. Kama zito humpend Nawe pia Kuna watu hawapendi it is a nature of life.

    ReplyDelete
  2. Huyu kabebwa Na dr migiro hata kuzaa alizaliya kwa migiro USA

    ReplyDelete
    Replies
    1. Aisee, inaelekea unamfahamu kuliko anavyojifahamu hahahahaha poye weeeeee

      Delete
    2. Tunamjuwa tangu chuo kwenda kuzalia kwa Migiro USA

      Delete
    3. Ili mtoto wao apate uraia wa USA leo awe naibu mwanasheria mwezi mmoja mara unaibu spika
      Shame you CCM

      Delete
    4. Ili mtoto wao apate uraia wa USA leo awe naibu mwanasheria mwezi mmoja mara unaibu spika
      Shame you CCM

      Delete
    5. Oops Tangu loleza ananuka kikwapa

      Delete
  3. Hili kinda tuofie siye
    Mfuuuuuuuuuu kwa mitihani ya kupewa na Asha migiro

    ReplyDelete
  4. Karma will haunt you it goes and come back,it pay back time

    ReplyDelete
  5. Hawa watu wa kubebwa wanaeleweka,tena mapema.mnamuogopa zitto kabwe bungeni,safari hii zipo mashini kali zaidi ya mia moja ie. 100.Huyu kapandishwa vyeo kihovyo hovyo,uteuzi umetenguliwa kihovyo mara kawa mbunge wa kwanza wa kuteuliwa na rais tena kwa kasi ya kuvunja rekodi.tunafuatilia yupo nani mgongoni? kumbe huyu ndiye aliyeshirikiana na wale majaji watatu KUUA MATUMAINI YA WAPIGA KURA WA TANZANIA.kwa maana nyingine adui wa watanzania walio wengi.unfolded -tumemuona.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umemaliza?? Tumasalamu kisha uchague na wimbo wa kukuburudisha

      Delete
  6. Pole Magufuli mafisadi weshanza kukuchagulia viongozi
    Watanzania tulisema CCM haina jipya
    Shame you wakukaya

    ReplyDelete
  7. Sasa mlitaka achaguliwe zungu mfuasi wa yule gonjwa!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Koma wewe tunamjuwa sana huyu sisi
      Mzigo wa migiro na kikwete

      Delete
  8. Hizi ni hisia Potofu na hoja zisizo na mashiko, Huyu mwanadada kwanza ameibuliwa kwa kasi sana tena amekuwa mtumishi wa serikali mwenye kutenda maovu na serikali kwa muda sasa leo anateuliwa na chama chake kugombea nafasi ya juu bungeni? ZZK alitoa hisia zake na uzoefu wake juu ya ugumu wa kuendesha shughuli za Bunge kwa kinda huyu ambaye hana hata uzoefu wowote bungeni, kama una chuki zako binafsi na Zito pole sana,

    ReplyDelete
  9. Nimeulizwa nimemaliza? basi kanambia nitume salamu na nichague wimbo.asante nape nauye nimemaliza,na ninatuma salamu zangu kwa wanachi wote wa tanzania walioibiwa ushindi wao halali na WEZI WAKUBWA,CCM mnamo jumapili tarehe 25 octoba 2015.ujumbe hamishieni masikio na macho yenu bungeni,bunge hili la 11 la tanzania.pale ukweli utaanikwa,aibu kubwa itajifunua.mwisho uliniambia nichague wimbo,haya huu hapa,na wewe goigoi imba''KAMA SIYO CHUKI ZAKO KIKWETE,NA LOWASSA TUNGEMPATA WAPI?" RUDIA MARA MIA KISHA LALA.

    ReplyDelete
  10. Zitto anauzika kila chama
    Amuogpe huyu kwa lipi?
    Zitto Mtu maamuzi si wa kubebwa
    Na ana hoja na uchungu Tanzania

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wote mliyochangia hapo juu ni wasenge wote hamna jipya ngojeni watu wafanye kazi subilini matokeo.

      Delete
    2. Msenge wewe na mnuka kikwapa mwenzio

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad