VIDEO:Wafanyakazi Kiwanda cha Urafiki Wagoma Wakidai Nyongeza ya Mshahara

Wafanyakazi wa kiwanda cha urafiki ubungo jijini Dar es Salaam wamegoma kufanya kazi wakidai nyongeza ya mshahara.

Wafanyakazi wa kiwanda cha urafiki ubungo jijini Dar es Salaam wamegoma kufanya kazi wakidai nyongeza ya mshahara.

Hali ya utulivu ni nzuri, hamna fujo, polisi wa kituo cha Urafiki wamefika eneo la tukio, wafanyakazi bado wanashikiza madai yao yasikilizwe

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Usalama wa taifa ufanye kazi hapo kwani yawezekana hao ni Chadema kwa 98% wapuuzieni sie tunataka kazi kwa mshahara wowote hata laki na nusu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad