Rais Dkt Magufuli aliahidi kuwa katika serikali yake mtumishi akiharibu atohamishwa, balada yake atasimamishwa kazi mara moja na uchunguzi kufanyika dhidi yake endapo kuna haja ya kufanya hivyo. Hili amelisimamia kwa vitendo baada ya kutengua agizo la waziri mkuu la kuwahamisha wafanyakazi wa TRA walio haribu pale bandari na kuagiza wahamishwe mikoani siku ya jana.
Source:ITV Tanzania
Hakuna hapa hapa hapa Watakwendaaa
ReplyDeleteNyinyi mkiendelea na kazi hii bila kutoa upepo.. Tanzania itakuwa non corrupt leadership na econonimical sound lakini mkiachia kwamba mtachekwa... Magufuli you need a strong team with the same focus and genuine dynamism I'm ready to join you as I find we share in common as I'm preaching of the same... keep it up... We need this kind of leadership and next campaign is ....... on justice
ReplyDeleteHao wafukwenzwe tu wezi na wazurumishi sana TRA. Walikama gari ya uncle wanagu na mafuta wakarudisha mafuta kwa kigogo na shikiria gari ya pound 60, wakauzizia wenyewe kwa milion 20, kama si wizi wa reje reje ni nini? Gari ilitakiwa irudishwe kwa mwenye kama mafuta merudishe kigogo wenu why mmeishikiria na hata baada ya kutoa faini? mungu safari hii amewalipia.
ReplyDelete