Mfano wa Wanawake Hawa wa South Africa Walipo Andamana Kuishinikiza Serekali kukubali Mapenzi ya Jinsia Moja |
Hatua hiyo imekuja baada ya kusikia CCM wakisema lazima washinde Jimbo la Arusha Mjini kwa sababu ni jimbo muhimu sana.
Mfano wa Wanawake Hawa wa South Africa Walipo Andamana Kuishinikiza Serekali kukubali Mapenzi ya Jinsia Moja |
Hivi chadema kuna wanawake kweli au kuna vituko! Sasa mkitembea uchi mtapata nini zaidi ya kujidhalilisha tu.. kwanini msitembee hivi sasa baada ya mgombea wenu urais kukosa ushindi, kwani ubunge na urais kipi kikubwa......... ama kweli wanawake wote wa chadema "HAMNAZO"
ReplyDeleteCHADEMA kweli kuwanyima kula zetu kwenye kiti cha urais kumbe hatukukosea mambo gani hayo munayo tutangazia tufanye? hatutaki kama nyiye munaona ni sawa basi chukuweni wake zenu na wanaume kwa pamoja mtembeze mapumbu yenu wazi alafu mjione mulivyo kuwa wabaya
DeleteTupo tena wengine wapo CCM lakini chadema
ReplyDeleteArusha si Geita
Unawaona Wanaume wasio na elimu hapo juu na kauli zao za Ubakaji. Huyu aliyesema atawabaka moja kwa moja huenda ameshawabaka Wanawake. Ni Wanaume wasio na Elimu, fujo tupu na hatari kwa Taifa. Hawa ni wanaume wa mitaani sababu tu ni wanaume wanaongeautumbo bila kujielimisha. Wanawake wengi wamepiga hatua sasa hivi na kuelewa haki zao. Hongera akina dada.Haki lazima itendeke. Huu ubabe wa CCM unahatarisha amani nchini.
ReplyDelete