Wastara Afungu 'Jamani Penzi lililowahi Kunipa Raha na Kunifanya Nifurahie Maisha ni la Sajuki tu na si Mwanaume Mwingine yeyote

NASEMA ukweli kabisa! Staa wa ‘grade one’ kunako filamu za Bongo, Wastara Juma ameweka wazi kuwa, tangu azaliwe, penzi pekee alilowahi kulifurahia ni la aliyekuwa mumewe na msanii mwenzake, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’.

Staa wa ‘grade one’ kunako filamu za Bongo, Wastara Juma.
Akichonga na Amani juzi, Wastara alifunguka kuwa, Sajuki ndiye mtu pekee aliyekuwa akimwelewa na kumpa mapenzi ya dhati.Aliongeza kuwa, Sajuki ndiye mwanaume aliyekuwa akimlinda siku zote na kumtetea katika jambo ambalo alikuwa akionewa

Jamani penzi lililowahi kunipa raha na kunifanya nifurahie maisha ni la Sajuki tu na si mwanaume mwingine yeyote. Hicho ndicho kitu kinachonifanya nimkumbuke sana kila wakati,” alisema Wastara.
Source:Globalpublishers

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nenda kwenye kaburi lake Kila leo Leo

    ReplyDelete
  2. Una mdomo sana wewe mtoto ndo maana mengi yanakukuta
    Kila mitandao unalalamika mara mguu
    Mara una mpenzi mpya una nini wewe

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad