Watu wengi wanajiuliza waziri mkuu atakuwa nani..
Ukweli utawala wowote Waziri wa Fedha ndio kila kitu
ndie atakae run the economy.....na mipango na najeti zote kupitia kwake..
Binafsi niko curious kujua nani Magufuli atamteua awe waziri wa Fedha
nikishajua nani na ana sifa zipi ndio ntajua utawala wa Magufuli utafanikiwa au la...
Waziri mkuu sio muhimu kama waziri wa Fedha.....kosa kubwa la Kikwete lilikuwa hapa
kutwa alichagua marafiki au wanasiasa to run the economy.....
je Magufuli atakua tofauti?
Mnaomtaja Mwigulu Nchemba mnachekesha sana...Mwigulu anafaa kuwa waziri wa mambo ya ndani
To run the economy ni very serious task....
NYIE MLIE TU MMEISHAMPA KURA INATOSHA HUKO CHINI MTANGOJEA SANA WAO JUU WANAFUNGUA"CHAMPGNE" ZA BEI YA JUU KWA KODI ZENU HUKU WAKICHEKA SANA MPAKA THE NEXT COMING 5 YEARS MTAWAONA TENA WANAKUJA HUKO CHINI MLIPO KUJA KUWALAGHAI TENA KISHA WANARUDI KWAO JUU HIYO NDIO PROCEDURE YAO POLITICIANS ARE THE BIGGEST CHEATER EVER"NA KWA KUWA WENGI ELIMU INAWAPIGA CHENGA SIO RAHISI KUGUNDUA HILO KWA HIYO MTAENDELEA KU SUFFER VIZAZI KWA VIZAZI MKISUBIRI HILO NENO LAO LA KUSEMA "MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA"AU HII YASASA"HAPA NI KAZI TU"WHO CARES NYINYI WA CHINI?IT'MISSION IMPOSSIBLE
ReplyDeleteSheria, mashtaka, hukumu, na kifungo, ndio kila kitu kwanchi yoyote inayotaka kuendelea duniani, ..
ReplyDeleteKwa asilimia 100 anatufaa Mbowe kwani katuletea Edo atashindwaje kuiongoza wizara nyeti namna hii kwa nini nyie udaku msipenkeze toka mwanzo
ReplyDeleteTusifanye utani jamani hapa weka mpya watu tuchangie nani anafaa kuwa waziri kwa wizara gani na wizara ngapi
ReplyDeleteProf lipumba
ReplyDelete