Baada ya Wema Sepetu Kutoa Misaada kwa Watoto wa Yatima wa Kituo cha Good Hope Orphanage in Usa-River Arusha..Aliandika Maneno haya kwa Uchungu kwenye ukurasa wake wa Instagram:
"Kumbuka kwamba kuna kifo... Iko siku utaitwa Marehemu.... Put that in your head... Im thinking my day is soon.... Alhamdulillah for everything tho...."
Je Unadhani Kwanini Kaandika Hivyo ?
Wema Sepetu Ashtua Watu Aandika Ujumbe Mzito...Adai Siku zake za Kifo Zimekaribia
12
November 18, 2015
Tags
Anataka attension tu
ReplyDeleteAna bahati mwenzetu kujua siku ya kufa.
ReplyDeletesasa sisi tufanyeje?
ReplyDeleteItakuwa bora.
ReplyDeleteAnataka kujiua😃😃
ReplyDeletekwan yeye n nan!
ReplyDeleteHayo aliondika ndio uislam kullu nafsi dhalkati llimauti hakuna cha ajabu innallilah wahinallilah rajuhun
ReplyDeletehakuna binadamu anaeweza kujua siku ya kufa ila allah pekee
ReplyDeleteHana ishu. Kampeni zimekwisha hajui atafuteje kiki.
ReplyDeleteAseme siku ya kuzaa
ReplyDeleteAna Ukimwi?
ReplyDeleteukimwi tayari
ReplyDelete