Wema Sepetu Ashtua Watu Aandika Ujumbe Mzito...Adai Siku zake za Kifo Zimekaribia

Baada ya Wema Sepetu Kutoa Misaada kwa Watoto wa Yatima wa Kituo cha Good Hope Orphanage in Usa-River Arusha..Aliandika Maneno haya kwa Uchungu kwenye ukurasa wake wa Instagram:

"Kumbuka kwamba kuna kifo... Iko siku utaitwa Marehemu.... Put that in your head... Im thinking my day is soon.... Alhamdulillah for everything tho...."

Je Unadhani Kwanini Kaandika Hivyo ?

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Anataka attension tu

    ReplyDelete
  2. Ana bahati mwenzetu kujua siku ya kufa.

    ReplyDelete
  3. sasa sisi tufanyeje?

    ReplyDelete
  4. Anataka kujiua😃😃

    ReplyDelete
  5. kwan yeye n nan!

    ReplyDelete
  6. Hayo aliondika ndio uislam kullu nafsi dhalkati llimauti hakuna cha ajabu innallilah wahinallilah rajuhun

    ReplyDelete
  7. hakuna binadamu anaeweza kujua siku ya kufa ila allah pekee

    ReplyDelete
  8. Hana ishu. Kampeni zimekwisha hajui atafuteje kiki.

    ReplyDelete
  9. Aseme siku ya kuzaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad