WEMA SEPETU: Nasib Abdul Angekuwa Mume Wangu wa Maisha!


Nasib Abdul ni jina halisi la Diamond Platnumz. 
Miss Tanzania huyo wa mwaka 2006 na muigizaji wa filamu alikuwa akijibu swali kwenye kipindi cha Hitzone kupitia kituo cha redio cha Jembe FM cha jijini Mwanza alipoulizwa ni mwanaume gani ambaye alitamani awe mume wake wa ndoa. 

“Ni yupi ambaye niliwahi kusema huyu anaweza kuwa wa maisha,” alisema Wema. “Kiukweli alikuwa anaitwa Nasib Abdul,nilishawahi kusema hivyo,” alisisitiza.
Hata hivyo ndoto hiyo iliyeyuka baada ya wawili hao kuachana mwaka jana na Diamond kuhamisha mahaba yake kwa Zari the Bosslady ambaye tayari wana mtoto wa kike, Tiffah. 

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Naskia kutapika pole shemeji Namibia

    ReplyDelete
  2. Wema hata haueleweki majuzi ulisema kuwa jamaa sio class yako anatokea uswazi leo angekuwa mme wa maisha so please what is to believe from you?stay true to youself and you'll rewarded

    ReplyDelete
  3. Zari mwernyewe uswahili umemshinda itajakuwa Wema machepele hebu tupisheni sie na life yetu ya uswazi.... Uncle, dada, dada, housegirl, sijui mama uncle tena hapo sijui kuna baba wa kufikia au laaa nyumba mbona itawaka moto! na isitoshe dada wenyewe sijui wameolewa wakaachika ha ha ha ha life ya bongo hata mswazi mwenzake ni ngumuuu

    ReplyDelete
  4. Lakini kunakitu wanakifuata hao
    Tuwanunulie dildo kina wema

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad