Spika wa bunge,Job Ndugai aliwataka wabunge hao waache kuzomea na badala yake wakae chini lakini wakakaida, hali iliyomfanya awaamuru watoke nje kwa hiari yao kabla nguvu ya dola haijatumika kuwatoa.
Yanayojiri Bungeni Dodoma Muda Huu..Wabunge wa Ukawa Walianzisha na Kutolewa Nje ya Bunge na Spika
3
November 20, 2015
Spika wa bunge,Job Ndugai aliwataka wabunge hao waache kuzomea na badala yake wakae chini lakini wakakaida, hali iliyomfanya awaamuru watoke nje kwa hiari yao kabla nguvu ya dola haijatumika kuwatoa.
Tags
Kuna mambo si ya kuyashabikia Kama taifa tukiwa tunapenda umoja wetu. Tu kibali kuwa hapa tulipo kuhusu zanzibar tumekwama Kama taifa. Sina tatizo na ushindi alioupata magufuli lkn ni natatizo na hizi katiba jinsi wanasheria wanavyozitafsiri kwa faida zao. Bunge la jamhuri ya muungano ni Lazima liwe na wabunge wa jamhuri kutoka zanzibar. Na hata rais wa muungano Inaleta maana Kama pande zote za muungano zikiwepo. Lkn Kama hali iko hivyo ni wazi kuwa picha inayopatikana si ya muungano bali ni ya tanganyika . Tu ache ushabiki wa kisiasa. Nina Imani na rais magufuli lkn kaachiwa zigo linalomuumiza kichwa mapema sana na itamfanya achelewe kutekeleza ahadi zake. Nakumbuka aliomba watu waache maandamano ili uweze kufanya kazi. Lkn ktk hali ya sintofahamu Kama hii na Kila mmoja anatafsiri sheria kwa matakwa yake au ya chama chake au kuwafurahisha waliompa madaraka watu watatafutaje haki zao. Tujikite kitatua mgogoro wa zanzibar. Tusisubiri maafa ndipo tutumie rasilimali za taifa kushughulikia matatizo. Uchaguzi wa tarehe moja, matokeo hayo hayo, Mpira kura, huyo huyo upande mwingine ni halali na upande mwingine eti si halali. Please wanasheria mwogopeni mungu.
ReplyDeleteKwenda zako MKIWA MKUBWA WEWE! Sheria ipo wazi....ENDELEENI KUMSIKILIZA MAMVI...SERIKALI IPO IMARA NA MTANYOOKA TU!
Deleteleo nimemsikiliza rais wa Nigeria alikuwa anazungumza kwenye forum Fulani kuhusu demokrasi in Africa. akazungumzia kuhusu uchaguzi wa Zanzibar akaelezea kwamba wazanzibar wanapiga kura tano wakala hao hao wasimamizi hao hao kura mbili kati ya hizo za kumchagua rais wa Tanzania na wabunge wa muungano ni halali lakini zilizobakia si halali watu wote wamecheka we African, we are laughing stock. kujitawala ni hekima .
ReplyDelete