Afisa mmoja wa TPA amesema vigogo na watu wakubwa wenye ushawishi serikalini walitumia kampuni za mifukoni na vimemo kupitisha makontena yao bandarini.
Afisa huyo amesema vigogo hao walikuwa wakituma vimemo kwa wakubwa wa bandari na kuagiza kupitishwa kwa makontena yao, ya ndugu zao na ya wapendwa wao.
Ofisa huyo wa TPA aliongeza kuwa kutokana na nyadhifa za wakubwa hao,ilikuwa uamue ama upitishe ubaki kazini na uneemeke au ukatae kupitisha makontena hayo alafu upoteze kazi.
Orodha ya majina ya vigogo hao imekabidhiwa kwa waziri mkuu.
Hiki ndio kitakuwa moja ya kipimo cha Magufuli katika kupambana na mafisadi.
Hatutaraji watuhumiwa hawa kupewa msamaha kama alivyofanya kwa wakwepa kodi wakubwa.
UKAWA fuatilieni sakata hili na ikibidi majina ya vigogo hao muyaweke hadharani.
Nafasi za Ajira
Bonyeza www.ajirayako.com
Msoga hiyo
ReplyDeletehatutaki sinema tunataka watu wachukuliwe hatua washakula vya kutosha
ReplyDeletedah
ReplyDeleteAcheni ushabiki wa kisenge wacheni Jembe Magufuli lifanye kazi sio kutia kinaa eti UKAWA fatilieni hizo ni siasa za maji taka
ReplyDeleteMsoga system
ReplyDeleteWamechagua rais
Hadi waziri mkuu
CCM Chali
Anony 6: 26 PM Dah ndugu uko planet gani huoni wa husikii ya msoga yanatuhusu nini huoni tingatinga linavyo tingisha dunia nzima wewewwwwewe HAPA KAZI TU
Delete