Afisa TPA: Vigogo Walitumia "Vimemo" Kupitisha Makontena yao ya Ndugu zao na ya Wapendwa Wao


Afisa mmoja wa TPA amesema vigogo na watu wakubwa wenye ushawishi serikalini walitumia kampuni za mifukoni na vimemo kupitisha makontena yao bandarini.

Afisa huyo amesema vigogo hao walikuwa wakituma vimemo kwa wakubwa wa bandari na kuagiza kupitishwa kwa makontena yao, ya ndugu zao na ya wapendwa wao.

Ofisa huyo wa TPA aliongeza kuwa kutokana na nyadhifa za wakubwa hao,ilikuwa uamue ama upitishe ubaki kazini na uneemeke au ukatae kupitisha makontena hayo alafu upoteze kazi.

Orodha ya majina ya vigogo hao imekabidhiwa kwa waziri mkuu.

Hiki ndio kitakuwa moja ya kipimo cha Magufuli katika kupambana na mafisadi.

Hatutaraji watuhumiwa hawa kupewa msamaha kama alivyofanya kwa wakwepa kodi wakubwa.

UKAWA fuatilieni sakata hili na ikibidi majina ya vigogo hao muyaweke hadharani.

Nafasi za Ajira

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hatutaki sinema tunataka watu wachukuliwe hatua washakula vya kutosha

    ReplyDelete
  2. Acheni ushabiki wa kisenge wacheni Jembe Magufuli lifanye kazi sio kutia kinaa eti UKAWA fatilieni hizo ni siasa za maji taka

    ReplyDelete
  3. Msoga system
    Wamechagua rais
    Hadi waziri mkuu
    CCM Chali

    ReplyDelete
    Replies
    1. Anony 6: 26 PM Dah ndugu uko planet gani huoni wa husikii ya msoga yanatuhusu nini huoni tingatinga linavyo tingisha dunia nzima wewewwwwewe HAPA KAZI TU

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad