Angalia Picha za Nyumba Mpya ya Wema Sepetu Baada ya Habari Kuzagaa Leo Kuwa Amefukuzwa Kwa Ile Nyumba ya Kijitonyama....
Angalia Picha za Nyumba Mpya ya Wema Sepetu Baada ya Habari Kuzagaa Jana Kuwa Amefukuzwa Kwa Ile Nyumba ya Kijitonyama
34
December 22, 2015
Tags
nyumba mpya ya Wema kivipi sasa maana ata ile aliyoondoka alisema yake kanunua milioni280 sasa maigizo tumechoka nayo jamani mtu akipanga au akinunua afanye tu iwe siri yake kwanini wabongo hatujifunzi??????????????
ReplyDeletesi ukamununulie nyumba kama unaweza
Deletesi ukamununulie nyumba kama unaweza
DeleteUmeona ee.
DeleteYanini kujisifiya uko na mpaka magazeti yote yametowa wizi wake wa umeme na maji
ReplyDeletecc haituhusu
ReplyDeletenimefurahi sana Wema keep it up wenye choyo wakajitose baharini iwe ni nyumba ya kupanga iwe ni yake kainunua, binadamu kwa nini tumsakame kiumbe kama sisi hebu fateni yenu
ReplyDeletewakajinyonge na nyumba ya kupanga???? you are idot
DeleteHuyu naye si anyamaze tu
ReplyDeleteHatuhusu sisi hata akihamia ikulu
Ila lipa umeme Na maji
Ingekuwa ya Msanii mwingine ungeamini.Wema unapendwa na watu.
ReplyDeletesi nyie udaku mlisambaza habari
ReplyDeleteHaituhusu
ReplyDeleteHaituhusu
ReplyDeleteJozeriine tafadhali kuwa mwelewa ingawa hata uandishi wako unadhihirisha ur primitive
ReplyDeleteSISI WABONGO HATUTAKI KUJUA MAISHA YA WEMA SAWA
ReplyDeleteINA MAANA WEMA MPAKA LEO HAJAJENGA NA KUTAMBA KOTE
ReplyDeletekajenga lini
ReplyDeleteAtajua mwenyewe
ReplyDeleteKila msanii aonyeshe nyumba yake au majumba zake, gari lake au magari zake, ikiwezekana waonyeshe na hata machupi zao. Sababu yote hayo niliyo yasema nimoja ya usanii!!! James B. Kalugira USA
ReplyDeleteKwa biashara gani aliyonayo bidada? Wasanii wetu ndo mana wanaishia kutembeza vibakuli Tu wakiwa na matatizo, wanaigiza hadi kwenye uhalisia, wajifunze kwa wenzao kina Genevieve uko magharibi. Wasanii WA bongo show off kibao kwa hela za kuhongwa elimu zao duni starehe mbele hata wakitoa ushuzi wanajipeleka kwenye media tumewachoka jamani, mtu mwenye kumiliki mjengo WA hivi kwanini aibe umeme na maji? Hamjiulizi Tu, shame on u, badilikeni tumewachoka na drama zenu, kama mtu huna huna kama umejaaliwa shukuru Mungu.
ReplyDeleteacha kuandika usiolijua afadhali wasanii wa huku bongo huyo jenivivi ana move lake la sex amecheza.. usipende kusifia watu kiuongo ili uwaponde watu fulani. kama vipi na wewe ukauze bakuli la nyuma kama unaona wanapata faida.
DeleteWewe ndo unaandika usilolijua, wasanii WA west wengi Sana wameenda shule, most of them wana degree 1-2 na wameifanya Sanaa kama kazi tofauti na WA bongo wengi wao wanaifanya Sanaa kama sehemu ya kujijengea umaarufu Tu, wakipata matatizo wanapita kuchangisha vimichango. Acha kutetea ujinga, penye ukweli waambiwe, wabadilike
Deletewacheni majungu aliepewa kapewa mnajiumiza kichwa for nothing
ReplyDeletesemeni nahiyo kapanga na anadaiwa umeme na maji.
ReplyDeletewasani wa bongo bongo zimelalala bora hata mziki ila maigizo hawana kitu ni watu wa show off mingiila mifuko haina kitu tushawazoea elimu hawana kabisa form 4 unazitafuta kwa tochi hamna kitu
ReplyDeletebongo muvi mlishindwa kumtumia kikwete angesaidia kunyanyua kazi aenu ila mlivyokuwa malimbukeni mkiitwa ikulu mnaishia kupiga nae selfiee na sasa tuko na magufuli wala hataki shobo mbona mtakuma kuringa bata maji nyie na poda safari hii hambebi tena tunazibiti kila kona tukiwadaka kifungo
ReplyDeletebongo muvi mlishindwa kumtumia kikwete angesaidia kuboost kazi zenu ttz misifa imewaja mkienda ikulu mnashindwa kujieleza mnaishia kupiga selfie Magufuli ataki shobo lazima muumbuke tuu mwaka huu msipojirekebisha hamjui hata kuigiza ndo maana hamfiki mbali soko lenu liko uswahilini bado mnawaletea nyodo na poda safari hii hambebi tena tunakaba kona zote tukiwadaka kifungo
ReplyDeleteAkalipe pesa ya watu ya umeme na maji ndo aendelee kujishaua
ReplyDeletekwani ile knyama si alisema ya kwake?na hii itakuwa ya kwake kwa kuota ndoto za mchana,na mkumbusheni akalipie umeme na maji anaodaiwa na baba mwenye nyumba knyama kabla hajatumbuliwa jipu,HAPA KAZI TU au mama ongea na mwanao!!!!!!!!!!hahahahahaha
ReplyDeleteMmmh ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni kutoka kwenye nyumba uliyonunua kwa m280: n kuhamua kuiuza ili ulipe deni la umeme na maji vya wizi; mpka kuomba hifadhi nyumba za wenyewe waliopo nje tena wala hamiliki range kama we we n c mpenda sifa kama we we uliyetuambia umenunua nyumba 280m.dah onyo tena kubwa mpenda sifa hiyo nyumba c sehemu ya matangazo kama unapenda msaada kaa kimya n icjeckika eti unawadanganya umenunua hiyo nyumba utaangukia pua bidada. Kwani nyumba c kama hayo makalio ya mChina mnayonunua kariakoo.
ReplyDeletemtasema sana Wema huyoooo! kwa raha zake wewe usokuwa na matako ya mchina mbona huyaonyeshi huna jipya hasira za kukaa vibarazani hizo.
ReplyDeleteWema uko juu.kukuchafulia jina ndio kukupandisha zaidi.Waonyeshe gari ulilokuwa nalo kwa sasa wajiuwe kwa sumu ya Panya.
DeleteHallo Hilo gari la kuhogwa Asante Magufuli
DeleteFyuuuuuuuuuu
Malaya huyu asiyejuwa kuchamba wala kutawaza
Wema woyoooo waache walale macho kwa jiri yako wwe kula gud tym, TATIZI NYOTA ng,arisha yko
ReplyDelete