Angalia Video ya Wimbo Mpya wa Diamond Platnumz Alioutoa Siku ya Leo

ANGALIA VIDEO HAPA


The word UTANIPENDA means WOULD YOU LOVE ME.... This is an inspirational song talks about the real life of Diamond Platnumz it's like a Question he ask to his girlfriend... what if he loose everything that he has right now, the fame and all the things that he own would she still love him??.... The Song was written and Sang by Diamond Platnumz and produced and get Mastered by Tuddy Tomas all from Tanzania...The Video was shot in Dar es salaam Tanzania and Johannesburg South Africa under Godfather 

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. maneno ya nyimbo ni mazuri, but vidio ni mashauzi ya mama kubwa. sijaipenda.

    ReplyDelete
  2. DOMO KACHEMSHA NYIMBO HAIELEWEKI NA BI KIZEE WAKE KAZIDI KUIHARIBU. BORA BI SANDRA KAJUA KU ACT.

    ReplyDelete
  3. hivi huyo Zari hajui kama Wolper ni mke mwenzie? naona anapigwa changa la macho.

    ReplyDelete
  4. sijaipenda kabisaaa, No mvuto ni mashauzi tuu. bora bi sandra kaitendea haki kuliko huyo Ajuza wake.

    ReplyDelete
  5. safi dogo all the best ujumbe umefika kwa muhusika

    ReplyDelete
  6. ZARI ANAJITAHIDI KUFUMBA MDOMO MENO YASIONEKANE YALIVYO MABAYA. NYIMBO SI NZURI MASHAUZI MEEEENGIIIIIIII.

    ReplyDelete
  7. naona Dai anaanza kuporomoka ki mziki kama mambo yenyewe ndo yaha! yetu macho.

    ReplyDelete
  8. Love the song gud job di,zari n cooper

    ReplyDelete
  9. Nimempenda saaana Bi Sandra

    ReplyDelete
  10. Dai bado anaumia kwa Wema. mafumbooo meengi sasa yeye si kashapata mtoto wa kusingiziwa? kwa doct Mwaka inahusu nn?

    ReplyDelete
  11. nyimbo na mambo ya uzazi yahusu nini? Wema bado yuko kumoyo

    ReplyDelete
  12. Umeona eeh,Dr mwaka ana husikaje hapo?

    ReplyDelete
  13. dr. mwaka anahusika coz domo aliamua kwenda yeye kama yeye kujichunguza uzazi kama kwake nishida ila kaambiwa yuko fit. so ndohivyo kapata mtoto anashauri nayeyote mwenyeshida akamwone mwaka coz nisuluhisho la uzazi hajakosea wala kumtaja mtu.

    ReplyDelete
  14. Dai hajaenda kwa dc Mwaka kujichunguza wacha uongo Anony 9.00 PM. alikuwa na nia ya kumtusi Wema haamini lile gari ni la Madam Domo linamuuma sana.

    ReplyDelete
  15. Dai akajichunguze wakati kashakubali mtoto wa Katunzi? unachekesha labda adanganye kafanya DNA kwa doc Mwaka waandike na karatasi ya uongo. doc mwenyewe tapeli kama DOMO.

    ReplyDelete
  16. Pole Diamond unaonekana huja move on kila siku nyimbo zako lazima umuimbe Wema Tifany im sure she is not your daughter, labda ni ile waswahili huamini kitanda hakizai haramu. umeanza na tangazo la dr. mwaka na hapo hapo akaumbuka ingekuwa ni msanii mwingine aliyefanya hivyo kwa uswahilini wako ungeshoboka sana. Uwe tayari Mali zako kuridhiwa na Zari na wanae wooote.

    ReplyDelete
  17. free mason wanamsubiriiiii kwa hamuuuuu kashaishiwaa ahaha akatoe sadakaaa tumeshamumalizaaaa

    ReplyDelete
  18. Hongera sana umeimba vizuri mmependeza na Zari wako Mungu azidi kuwainua. Ukiwa bado unaishi huwezi kuwakwepa walimwengu na daima huwezi mridhisha kila mwanadamu hivyo usijali wanaoponda vuta socks yako songa mbele.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad