Bondia Mashali Amtwangia Cheka Nyumbani Kwao Morogoro

Bondia Thomas Mashari kutoka Dar amempiga Francis Cheka kwa pointi mjini Morogoro katika pambano la raundi 10, uzito wa Kg 77.

Majaji wamempa Mashari pointi 94, 96 na 97 wakati mwenyeji Cheka amepata pointi 96, 93 na 93
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad