Tutakuwa na mawaziri 19, kuna baadhi ya wizara zitakuwa na mawaziri na hazitakuwa na manaibu waziri. Lengo ni kuwa na baraza dogo kupunguza gharama.
Zilitengwa bilioni 2, mawaziri watakapoteuliwa waende semina elekezi, baraza nitakaloliteua halitakuwa na semina elekezi na fedha tutaelekeza sehemu nyingine kama ni madawati au kwenye elimu bure.
Wizara ni 18 lakini Mawaziri ni 19 kwa sababu wizara ya Ofisi ya Rais menejimenti ya Utumishi wa Umma naiunganisha na Utawala bora hivyo itakua na mawaziri wawili. Wizara ni kama ifuatavyo;
1.Wizara ya Ofisi ya Rais,Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora.
Mawaziri - George Simbachakene na Angella Kairuki
Naibu Waziri - Sumeilam Jafo
2.Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Raisi, Muungano na Mazingira
Waziri - January Makamba
Naibu Waziri – Luhaga Jerrson Mpina
3.Ofisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na Walemavu
Waziri - Jenista Muhagama
MaNaibu – Dkt. Possy Abdallah na Anthony Mavunde.
4.Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
Waziri - Mwigulu Nchemba
Naibu Waziri - William Ole Nasha
5.Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
Waziri : Bado hajapatikana.
Naibu Waziri – Inj. Edwin Ambandusi Ngonyani
6.Wizara ya Fedha na Mipango
Waziri: Bado hajapatikana.
Naibu Waziri - Ashantu Kizachi
7.Wizara ya Nishati na Madini
Waziri - Prof. Mwigalumi Muhongo.
Naibu Waziri - Medalled Karemaligo.
8.Wizara ya Katiba na Sheria,
Waziri - Harrison Mwakyembe
9.Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afika Mashariki, Kikanda na Kimataifa.
Waziri - Dk. Augustino Mahiga
Naibu Waziri – Dkt. Susan Kolimba.
10.Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Waziri - Dk. Hussein Mwinyi
11. Wizara ya Mambo ya Ndani
Waziri - Charles Kitwanga.
12.Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Waziri - William Lukuvi
Naibu Waziri - Angelina Mabula
13. Wizara ya Maliasili na Utalii
Waziri: Bado hajapatikana.
Naibu Waziri– Inj. Ramol Makani
14: Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji.
Waziri: Charles Mwijage.
15: Wizara ya Elimu,Sayansi Teknolojia na Ufundi.
Waziri: Bado hajapatikana.
Naibu Waziri – Inj. Stella Manyanya
16: Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Waziri - Ummy Mwalim
Naibu Waziri – Dkt. Hamis Kigwangala
17: Wizara ya Habari, Utamadu, Wasanii na Michezo
Waziri - Nape Nnauye
Naibu Waziri - Anastasia Wambura.
18:Wizara ya Maji na Umwagiliaji
Waziri – Prof. Makame Mbarawa
Naibu Waziri– Inj. Isack Kamwela
Fyuuuuuu
ReplyDeleteNape na mwigulu
Mmh!NAPE, MWIGULU, MAKAMBA?!!!! Mwakyembe - MCHAWI MPE MWANAO!!
ReplyDeleteHivi Mh Magufuli ametumia kigezo gani cha kuwachagua Nape na Mwigulu?
ReplyDeleteDuu, mashaka yangu ni juu ya hao watatu; NAPE, MWIGULU, MWAKYEMBE! Anyway we shall see what next.
ReplyDeleteFyuuu,nape na mwigulu...wapi riz1?
ReplyDeleteAtakaeshindwa na kasi afukuzwe mapema
ReplyDeleteSAFI SANA MUHONGO NA MAHIGA REAL PROFESSIONAL
ReplyDeleteMaliasili zitto Kabwe
ReplyDeleteFedha. Pro Lupumba
Ujenzi xxxxxxxxxx
Lakini nape tunaye bungeni
ReplyDeleteKwanza mgeni na wizara tutaibua madudu Kila kukicha
Mwigulu anajuwa wapi mifugo au uvuvi
Naye atatukoma bungeni
Prof muongo au Muhongo
Afunge domo lake yeye special ktk Africa u dunia
Angekuwa special asingetafuta ubunge bongo
Fala tu huyu Hana mpango
Magufuli pole
Mpe wizara na kinana basi
Mali asili na utaliiiiiiiii
Meno ya tembo Zurich vipi mbona umeufyata
Toba tumeletewa taarabu bungeni
ReplyDeletePole spika na naibu
Nape nape aliyesoma kivukoni
Kweli kufa kufaana
CCM hiyo
mikelele na kielele tu hakuna jipya lolote mbona mifisadi nayo yamo kwenye baraza lake??? mipapa, kazi kuonea dagaa wa makontena na bandari mbona majipu umeyapa shavu... huna kitu ni walewale kasoro tarehe.... teheteheteheeeeeeeeee
ReplyDelete