Breaking News: Rais Magufuli Atangaza Baraza Lake la Mawaziri

Ndugu waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla, ninawasalimu sana. Nawakaribisha katika kikao hiki cha kutangaza baraza la mawaziri.

Tutakuwa na mawaziri 19, kuna baadhi ya wizara zitakuwa na mawaziri na hazitakuwa na manaibu waziri. Lengo ni kuwa na baraza dogo kupunguza gharama.

Zilitengwa bilioni 2, mawaziri watakapoteuliwa waende semina elekezi, baraza nitakaloliteua halitakuwa na semina elekezi na fedha tutaelekeza sehemu nyingine kama ni madawati au kwenye elimu bure.

Wizara ni 18 lakini Mawaziri ni 19 kwa sababu wizara ya Ofisi ya Rais menejimenti ya Utumishi wa Umma naiunganisha na Utawala bora hivyo itakua na mawaziri wawili. Wizara ni kama ifuatavyo;

1.Wizara ya Ofisi ya Rais,Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora.

Mawaziri - George Simbachakene  na Angella Kairuki
Naibu Waziri - Sumeilam Jafo
2.Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Raisi, Muungano na Mazingira
Waziri - January Makamba
Naibu Waziri – Luhaga Jerrson Mpina

3.Ofisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na Walemavu
Waziri - Jenista Muhagama
MaNaibu – Dkt. Possy Abdallah na Anthony Mavunde.

4.Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
Waziri - Mwigulu Nchemba
Naibu Waziri - William Ole Nasha

5.Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
Waziri : Bado hajapatikana.
Naibu Waziri – Inj. Edwin Ambandusi Ngonyani

6.Wizara ya Fedha na Mipango
Waziri: Bado hajapatikana.
Naibu Waziri - Ashantu Kizachi

7.Wizara ya Nishati na Madini
Waziri - Prof. Mwigalumi Muhongo.
Naibu Waziri - Medalled Karemaligo.

8.Wizara ya Katiba na Sheria,
Waziri - Harrison Mwakyembe

9.Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afika Mashariki, Kikanda na Kimataifa.
Waziri - Dk. Augustino Mahiga
Naibu Waziri – Dkt. Susan Kolimba.

10.Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

Waziri - Dk. Hussein Mwinyi

11. Wizara ya Mambo ya Ndani
Waziri - Charles Kitwanga.

12.Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Waziri - William Lukuvi
Naibu Waziri - Angelina Mabula

13. Wizara ya Maliasili na Utalii
Waziri: Bado hajapatikana.
Naibu Waziri– Inj. Ramol Makani

14: Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji.
Waziri: Charles Mwijage.

15: Wizara ya Elimu,Sayansi Teknolojia na Ufundi.
Waziri: Bado hajapatikana.
Naibu Waziri – Inj. Stella Manyanya

16: Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Waziri - Ummy Mwalim
Naibu Waziri –  Dkt. Hamis Kigwangala

17: Wizara ya Habari, Utamadu, Wasanii na Michezo
Waziri - Nape Nnauye
Naibu Waziri - Anastasia Wambura.

18:Wizara ya Maji na Umwagiliaji
Waziri – Prof. Makame Mbarawa
Naibu  Waziri– Inj. Isack Kamwela

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Fyuuuuuu
    Nape na mwigulu

    ReplyDelete
  2. Mmh!NAPE, MWIGULU, MAKAMBA?!!!! Mwakyembe - MCHAWI MPE MWANAO!!

    ReplyDelete
  3. Hivi Mh Magufuli ametumia kigezo gani cha kuwachagua Nape na Mwigulu?

    ReplyDelete
  4. Duu, mashaka yangu ni juu ya hao watatu; NAPE, MWIGULU, MWAKYEMBE! Anyway we shall see what next.

    ReplyDelete
  5. Fyuuu,nape na mwigulu...wapi riz1?

    ReplyDelete
  6. Atakaeshindwa na kasi afukuzwe mapema

    ReplyDelete
  7. SAFI SANA MUHONGO NA MAHIGA REAL PROFESSIONAL

    ReplyDelete
  8. Maliasili zitto Kabwe
    Fedha. Pro Lupumba
    Ujenzi xxxxxxxxxx

    ReplyDelete
  9. Lakini nape tunaye bungeni
    Kwanza mgeni na wizara tutaibua madudu Kila kukicha
    Mwigulu anajuwa wapi mifugo au uvuvi
    Naye atatukoma bungeni
    Prof muongo au Muhongo
    Afunge domo lake yeye special ktk Africa u dunia
    Angekuwa special asingetafuta ubunge bongo
    Fala tu huyu Hana mpango
    Magufuli pole
    Mpe wizara na kinana basi
    Mali asili na utaliiiiiiiii
    Meno ya tembo Zurich vipi mbona umeufyata

    ReplyDelete
  10. Toba tumeletewa taarabu bungeni
    Pole spika na naibu
    Nape nape aliyesoma kivukoni
    Kweli kufa kufaana
    CCM hiyo

    ReplyDelete
  11. mikelele na kielele tu hakuna jipya lolote mbona mifisadi nayo yamo kwenye baraza lake??? mipapa, kazi kuonea dagaa wa makontena na bandari mbona majipu umeyapa shavu... huna kitu ni walewale kasoro tarehe.... teheteheteheeeeeeeeee

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad