Breaking News: Rais Magufuli Avunja Bodi ya Bandari.....Amsimamisha Kazi Katibu Mkuu Wizara Ya Uchukuzi

Rais wa Tanzania wa awamu ya Tano Dkt.John Pombe Magufuli katika kasi yake ya kutumbua majipu hatimaye,amevunja bodi yote ya Bandari na kutengua uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi mkuu wa bandari Bw.Awadhi Massawe (Pichani), Mwenyekiti wa bodi ya bandari pamoja maofisa 8 wa bandari .Ameagiza wote wawekwe chini ya ulinzi kwa ajili ya uchunguzi

Rais  pia  amemsimamisha  kazi katibu mkuu wizara ya uchukuzi Bw.Shabani Mwinjaka.
Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bado bado bado baba majipu ni mengi sana, sisi yetu ni maombi tuu

    ReplyDelete
  2. na yatakoma! yalikuwa yamejisahau sana haya, yakiishi kwa mazoea!!! Mhs yakamate yooootee!

    ReplyDelete
  3. yule paka shume wetu naye zamu sasa imefika,afungwe kengele,ana maelfu ya kesi za kujibu.kaharibu nchi yetu.pokonya passport yake kama hatua ya awali,usichelewe zaidi,huku uraiani ana-kubeza sana.

    ReplyDelete
  4. Tumbua tumbua jembee

    ReplyDelete
  5. TINGATINGA LINAFUKUA VIFUSI

    ReplyDelete
  6. Kwa speed hii Keko utajaa mijipu

    ReplyDelete
  7. kikwete ndio aone madudu yake aliyoyaacha

    ReplyDelete
  8. Wale ndugu zetu wa kuuza sura kwenye tv kisha wanahongwa na mafisadi na kujifanya matawi ya juu. Saizi wanahaha wakisikia jamaa anakamua mafisadi. Tumeteseka sana, tumenyanyasika sana, kisa watu wezi. Sasa kitaeleweka tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Aeende na Msoga , mkapa tutajuwa kweli jembe
      Kwani uozo na madudu yote yametokana na wao
      Afisili Mali zao awatie ndani

      Delete
    2. Msoga kuna bonge la jumba lipo mafichoni

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad