Breaking News: Watuhumiwa wa Makontena 349 Wapandishwa Kizimbani, Kisutu

WATUHUMIWA nane wa upotevu wa makontena 349 yaliyovushwa Bandarini ya Dar es Salaam bila kulipiwa kodi, miongoni mwao akiwemo Kamishna wa Kodi na Forodha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Tiagi Masamaki wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo ili kujibu tuhuma zinazowakabili.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad