Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa Mawaziri na Naibu Waziri alizobakiza wakati akitangaza baraza la Mawaziri la kwanza katika awamu ya tano ya utawala wake, na hawa ndio waliopata nafasi hiyo.
#BREAKING: Rais Magufuli amemteua Profesa Jumanne Maghembe kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii
#BREAKING: Rais Magufuli amemteua Dkt. Philip Mpango kuwa Waziri wa Fedha na Mipango (Ni baada ya kumteua kuwa Mbunge) 15
#BREAKING: Rais Magufuli amemteua Mhandisi Gerson Lwenge kuwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji
#BREAKING: Rais Magufuli amemteua Dkt. Joyce Ndalichako kuwa Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi
#BREAKING: Rais Magufuli amemteua Hamad Masauni kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
#BREAKING: Rais Magufuli amemteua Prof. Makame Mbarawa kuwa Waziri wa Ujenzi, uchukuzi na Mawasiliano
Hapa kazi tuu
ReplyDeleteWaziri na naibu wa mambo ya nje waangalie swala la maofisa ubalozi Kuala nje za nje kwa miaka mingi kupita miaka yak waliotakiwa.kuna maofisa wako zaidi ya miaka 10_15.wanasubiria enjoy tu na familia zao.Wakati kuna maofisa wako bongo wanasubiria post .length ni kubadishana lakini serekali iliyopita inawaacha tu
ReplyDeleteHuyu atakuwa Mjenga aliyewaliza viongozi wa awamu iliyopita
DeleteKuiba pesa za uchaguzi balozi Mahinga huyu mtoto nyoka
Kwanza si Mtanzania mkenya japo kasoma na kukulia Tanzania
Mwogope kama ukoma
Alipata post UN akatamba eti post hiyo hajasaidiwa na Migiro
Uhamiaji angalieni uhalalili wake
Mama mpka kesho yupo Kenya na mkenya
Waziri na naibu waziri wa mambo ya nje waangalie swala na maafisa ubalozi Kukaa nje mda mrefu, kupita muds wao kuna maafisa wako miaka 10-15.Wakati wengine wakisubiri Tanzania kupata post, serekali ya has kazii tuu , iangalie hilo swala .serekali iliyopita hakujali
ReplyDeleteWaziri na naibu waziri wa mambo ya nje waangalie swala na maafisa ubalozi Kukaa nje mda mrefu, kupita muds wao kuna maafisa wako miaka 10-15.Wakati wengine wakisubiri Tanzania kupata post, serekali ya has kazii tuu , iangalie hilo swala .serekali iliyopita hakujali
ReplyDeleteWaziri na naibu waziri wa mambo ya nje .waangalie swala na maofisa ubalozi na familia zao Kukaa nje zaidi ya muds wao .wako wallows zaidi ya ya miaka 10-15.Wakati wako maofisa wengine wakiwa bongo wakisubiri post .serekali ya hapa kazii tu waangalie maswala kama hayo
ReplyDeleteFyuuuuuuuu
DeleteKama hutoi mpango WA waziri au katibu mkuuuuuuuuuuuuuuuuuu hupati post. Njeeeeee
elimu itarudi kwenye ubora wake viva Ndalichako
ReplyDeleteYale Yale ya migizo
ReplyDeleteFyuuuuuuuuuuuuuu
Shame magufuli
we wa wapi mshenz wa tabia una mdharau rais wew hata baba ako nyumbani unamdharau
DeleteKwa ukubwa gani huyo Magufuli
Delete1959 mtoto mdogo mvi na kipara fyuuuuuuuuuuuuuu
CCM haina jipya Yale Yale kamati kuu
ReplyDeleteChezea Mtu aje na jina la rais mfukoni
Mmeona hata Magufuli alikuja na majina ya mawaziri si toa kwenye koti