Hili la viingozi wa TAKUKURU kusambaratishwa, tena viongozi watano, wote wa ngazi za juu kabisa mimi nalitazama kivingine.
Rais katoa tamko na amri, hakuna kusafiri nje ya nchi ili kuokoa fedha adimu.
Hao aofisa wanne wakurugenzi walikuwa na safari ya kikazi.
Kama ilivyoutaratibu waliomba kibali cha mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU, kosa la kwanza wakakubaliwa Kisha Wakaenda Ikulu kuomba kibali, wakakataliwa.
Baada ya hapo ndo nashindwa kuwaelewa, Mkurugenzi mkuu wao bado akawaruhusu kusafiri nje ya nchi! Kitendo hiki kinaweza kutafsiriwa kuwa ni dharau kwa mamlaka ya Rais aliyetoa tamko la kuzuia safari hizo.
Vile vile kwa mwanchi wa kawaida kinatupa picha ya viongozi wengine serikalini walivyojijengea uhalali wa kuamua mambo yao kwa faida za kibinafsi na uzoefu wa kukiuka mamlaka xilizo juu yao.
Hakuna lugha rahisi,ni dharau, mtanifanya nini.
Sasa kimewakuta!
walifikiri bado wako kwenye eNzi za kikwete!!! hawakujua hizi ni Enzi za HAPA KAZI TU!
ReplyDeletehata katika dini unatakiwa uwatii viongozi
ReplyDeleteWAAMBIENI HUYU WA SASA NI JPM SIO JK LABDA WALISAHAU
ReplyDeleteMsoga hiyo ikulu ilikuwa shamba la bibi
ReplyDeleteHata watoto eti nao ni VIP airport wanapita VIP tena bila kusachiwa
Shame kikwete