Diamond Afunguka Kutotokea Kwenye Zari All White Party, Adai Hamwogopi Ivan

Diamond Platnumz alikuwepo, Kampala, Uganda usiku ambao Zari alikuwa akifanya party yake ya All White lakini hakutokea. Ex wa Zari, Ivan Ssemwanga na wapambe wake walikuwepo. Watu walihisi kuwa Diamond aliogopa kwenda kumpa kampani mama wa mtoto wake Tiffah ili kuepusha shari na kambi ya Rich Gang ya Ivan.


Hata hivyo muimbaji huyo wa Utanipenda amedai kuwa hakukacha party hiyo bali makubaliano aliyokuwa nayo na promota wa show yake ya Ijumaa (siku moja baada ya all white party) yalimtaka asiende kwenye show hiyo ili kutengeneza uspesho kwenye show yake na Patoranking na sio ukweli kuwa alimgwaya Ivan.

“Halafu sasa watu wanasema namuogoa [Ivan], mimi siwezi kumuogopa, hii code chafu kabisa kutoka Tandale mimi nimuogope mtu!,” alisema kwenye mahojiano ya jana kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM.

Diamond amesema ameshawahi kukutana na Ivan mara kibao japo walipigiana mikausho kama kawa!

Sijawahi kuwa na matatizo naye, nshakutana naye wakati naenda kwenye MTV alikuwepo, mara nyingi tulikuwa tunapishana hivi na hivi kabisa. Hatujawahi kusalimiana sababu sijawahi kuwa na mahusiano naye niseme nimsalimie ni uongo. Halafu nilikuwa nikipita, nipo na crew, security, yeye anakuwa anapita tu maskini ya Mungu.”

Chanzo: Bongo5

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. muongo Dai. anajikosha tuu.

    ReplyDelete
  2. UNANINI MPAKA USIMUOGOPE IVAN? WACHA UJINGA AU KWASABABU ULIKUWA NA GROUP WATAKUHEMEA NYUMA CKU 1.

    ReplyDelete
  3. kwa wivu ulokuwa nao leo ushindwe kwenda kusapoet Ajuza unajikosha watu washakstukia huna jipya kapime DNA.

    ReplyDelete
  4. Promota hawezi kukukataza ili mradi mmeshalipana. huo ni uongo usiokuwa na tija, rudi shule Dai huna akili una sifa tuu.

    ReplyDelete
  5. huwawezi kushindana na kina Ivan, si kipesa wala akili, tutokeee hapa na mtoto wa kubambikiwa.

    ReplyDelete
  6. MBONA HUKWENDA KAMA HUWAOGOPI, PROMOT MY ASSSSSSS!

    ReplyDelete
  7. dai mtoto wa tandale ivan kula kulala hana lolote wala hajui hustle waambie dai we ni jembe achana nao hao ma ndo ndocha zari amekuelewa akauachia mzigo ttz watu wana kuchukulia poa dai ila wewe ni kiboko yao watakuelewa tuu
    wabongo wivuu tuu fyuuuu

    ReplyDelete
  8. wanaomponda diamond wote ni wapinzani wake, dogo yuko freshi. Tatizo la wabongo hatupendani ila ukweli haukwepeki dimo yuko poa sana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeonaee. Kuwaziba midomo walimwengu, akampime DNA Tiffah atoe majibu hadharani

      Delete
  9. UTATOMBWAA NA IVAN WW FALA UNAJINA MJANJAAA WALE NIWANAUMEE NA MABILION YAOO UTAFILWAA UAGEE DUNIAA WW TULIA NA HUYO MAMA HAEZ ISHI BOONGO ANAJUA HUNA MAISHAA MAISHA YAPO KWA IVAN WW UNAPESA ZA MBOGA TUU

    ReplyDelete
  10. MTOTO WAKATUNZI NAN AZAE NA WW SURA KM MAITII

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad