Diamond Wakomeshe Wanaosema Tiffah si Mtoto Wako, Wabandikie Matokeo ya DNA Kama Ulivyobandika ya Ujauzito


Pole Sana Diamond Platnumz  inasikitisha mtoto mdogo kusemwa midomoni mwa watu kuwa wewe sio Baba yake ,Wakomeshe wanaosema Tiffa si wako, wabandikie matokeo ya DNA Kama ulivyobandika ya ujauzito. Utawakata midomo kama alivyofanya Rafiki yako Ney wa Mitego.....

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. alaaaaa, kashayatengeneza mbona anayaminya? au kwenye A ataweka c halafu = Atawaonyesha visoloko vyake.

    ReplyDelete
  2. AMUONYESHE MAMA YAKE KWANZA NDO ALOKUWA NA WASIWASI.

    ReplyDelete
  3. Asimpime siku zooote aje awadanganye leo. toeni funza kichwani.

    ReplyDelete
  4. hata HIV huwa inabadilishwa matokeo sembuse DNA.

    ReplyDelete
  5. hana ujanja huo!!, mbona hatujawahi kusikia hata mimba za kusingiziwa huku tandale... DNA mchezo nini unataka agundulike mapema?

    ReplyDelete
  6. THUBUTUUUUUUUU!!!!!!!

    ReplyDelete
  7. Kwani kashapima?

    ReplyDelete
  8. hawezi bandika make hata yeye ana wasiwasi na DNA YA MTOTO TIFFAH

    ReplyDelete
  9. Kwani na mweye mlipima DNA mkawajuwa baba zenu bila shaka nyiye wote hapo hawuwajuwi baba zenu halali

    ReplyDelete
  10. JICHUNGUZE WEWE KWANZA BILA YA KUMCHUNGUZA MWENZIO JE WEWE ULIPIMA DNA NA BABA YAKO MAANA MAMA AKO ALIKUA ANAUZA POMBE KILABUNI PUMBAVU WEWE NYOOOOOO

    ReplyDelete
  11. Anonymous Dec 28 at 5.13
    Mbona unapanic inamana weye wa mwanzo lazma ukapime DNA umjuwe baba yako mana mama yako hajuwi mimba alipewa na nani maana kwasiku moja anakutana na wanaume zaidi ya watano kwahiyo haujuwi ninani

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad