Dr. Mwakyembe Kuendelea na Ubunge wake. Rufaa Dhidi Yake Yatupwa

Rufaa ya kutengua ubunge wa mh. Mwakyembe imetupiliwa mbali baada ya mgombea wa CHADEMA jimbo la Kyela kushindwa kulipa tshs. MILIONI 3 tu, hiyo ndiyo habari kuu mjini Mbeya.

Poleni sana mlioguswa na habari hii, hongera sana mh. Mwakyembe
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. acha mafisadi wapete kwenye shamba la bibi. hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad