Picha za Lowassa Asubuhi ya Leo zimezagaa Mitandaoni zikionyesha akichunga ng'ombe kijijini kitendo ambacho kimezua gumzo kutokana na kauli yake aliyoitoa wakati wa uchaguzi kuwa akishindwa atarudi kijijini kwao kuchanga......
Edward Lowassa Atimkia Monduli Kwenda Kuchanga Ng'ombe Kijijini Baada ya Kukosa Urais 2015
5
December 26, 2015
Picha za Lowassa Asubuhi ya Leo zimezagaa Mitandaoni zikionyesha akichunga ng'ombe kijijini kitendo ambacho kimezua gumzo kutokana na kauli yake aliyoitoa wakati wa uchaguzi kuwa akishindwa atarudi kijijini kwao kuchanga......
Tags
great man
ReplyDeleteangependeza zaidi kama angevaa yale mashuka yao ya wamasai.. nimeipenda sana hiyo mheshimiwa hayo ndo maamuzi magumu.
ReplyDeletebravo lowasa
ReplyDeleteAnangalia sana ccm hawashindwi kuwapa sumu ngombe hao
ReplyDeletehekima kubwa sana hii ukiwa kiongozi au msomi au ukiwa na fedha haina maana unasahau wewe ni nani. Nakupongeza Kaka Lowasa
ReplyDelete