Edward Lowassa Atimkia Monduli Kwenda Kuchanga Ng'ombe Kijijini Baada ya Kukosa Urais 2015



Picha za Lowassa Asubuhi ya Leo zimezagaa Mitandaoni zikionyesha akichunga ng'ombe kijijini kitendo ambacho kimezua gumzo kutokana na kauli yake aliyoitoa wakati wa uchaguzi kuwa akishindwa atarudi kijijini kwao kuchanga......

Je ndio ameamua kutimiza ahadi yake ama anatafuta kiki tu......

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. angependeza zaidi kama angevaa yale mashuka yao ya wamasai.. nimeipenda sana hiyo mheshimiwa hayo ndo maamuzi magumu.

    ReplyDelete
  2. Anangalia sana ccm hawashindwi kuwapa sumu ngombe hao

    ReplyDelete
  3. hekima kubwa sana hii ukiwa kiongozi au msomi au ukiwa na fedha haina maana unasahau wewe ni nani. Nakupongeza Kaka Lowasa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad