Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumanne Ya Disemba 8, Ikiwemo ya Magufuli Kufuta Nyayo za Sitta na Mwakyembe



Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwa mtu mwenye akili TIMAMU hawezi kuyapinga haya ANAYOYAFANYA Mh. Magufuli. Hata km ni wa chama tofauti. Mh. kaondoa ile CCM YA KISASA (CCM Modern!) manake ilifanywa ya kisasa na kuondoa ile maana ILIYOLENGWA NA HAYATI BABA WA TAIFA Mwl JK Nyerere, LKN anatenda kazi kwa FAIDA YA WATANZANIA ILI WANUFAIKE NA NCHI NA RASILIMALI ZA NCHI KWA faida ya wote na HIKI NDICHO TULICHOKITAKA WATANZANIA TULIO WENGI. Kwa maana hiyo basi SI DHAMBI WALA KOSA MTU YEYOTE KUMPONGEZA Mh. JPM kwa hiki anachokifanya BILA KUJALI MTU HUYO KATIKA KATIKA CHAMA/IMANI GANI. Maana haya anayoyafanya ndiyo ilikuwa lengo letu tumpate mtu atundetendee haya na mwisho wa siku Tanzania iwe ya watanzania WOTE BILA KUWEPO NA MATABAKA. Sasa Slaa kumnyooshea mkono Gwajima kisa amepongeza utendaji wa Mh. JPM na shindwa kupata jibu Slaa ana maana gani! Sana sana NAPATA PICHA KUWA HUYU SLAA NI MCHONGANISHI, huu si wakati wa kuchongeana ni wakati wa kutenda kazi ili kumwongezea ari Mh. JPM.

    ReplyDelete
  2. Meno ya tembo Zurich Zurich

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad