Haya Ndiyo Maneno ya Diamond kwenda Kwa Dr. Mwaka Baada ya Kilichomtokea

Staa wa Bongo Fleva anayetamba hivi sasa na kibao cha Je Utanipenda, Diamond Platinum amemtakia kheri na Baraka mtaalamu wa dawa za tiba mbadala kwa magonjwa ya kinamama, Dr J J Mwaka wa kituo cha Foreplan Herbal Clinic kutokana na mchango wake kwenye kusaidia mziki wa kibongo.

Mbali na Dokta huyo kukabiliwa na changamoto kubwa kuhusu huduma zake kwa sasa, Diamond ambaye ametumika kwenye matangazo ya Dokta huyo ameandika haya leo mtandaoni mara baada ya kuweka picha akiwa na Dokta huyo wa tiba mbadala.

Mwenyez Mungu akupe kila lenye kheri na baraka kwa kuthamini na kussuport mziki wa Kitanzania…”.

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dai anamsafisha kiaina. anaogopa doc Mwaka asimdai pesa zake,

    ReplyDelete
  2. Domo alifikiri tangazo la Mwaka litampaisha kumbe woote wameonekana matapeli.

    ReplyDelete
  3. Unaangalia upande wa muziki wako tu, vipi kuhusu afya za watu?

    ReplyDelete
  4. Almasi anapenda sifa na pesa. kasahau Wanawake na Mama zake kama wangeenda kwa doc Mwaka hata yeye asingezaliwa.

    ReplyDelete
  5. Angempeleka Ajuza wake Zari. asinge pata huyo mtoto wa kusingiziwa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. you just proved yourself ,where you`re,bush man
      you will remain as poor every day in life.come in Europe,wakutengeneze your mind.

      Delete
  6. Kwanza huo wimbo wake ungefungiwa mara moja, kwani anamtangaza daktari feki ambaye ni tapeli mkubwa, huo wimbo wake pia ni utapeli ule ule.......akwende zake huko na huyo dokta wake feki

    ReplyDelete
  7. wimbo unawasumbua sana,yeye yuko kazini kwani Daimond kazi yake kukagua halali au feki,kama kutangaza ndio ye feki basi na millard ayo,clouds na wengine wote feki.Je hospitali ya mwaka Imefungwa?

    ReplyDelete
  8. watanzania kinachowasumbua ni ushamba...kama wewe huna njia ya kupiga ela unashinda kulalamika tu ni boya!!! tafuta na wewe njia upige pesa utalalamika hapa hadi mate yakukauke hakuna anaekusikia wala kukufatilia...Find Connection PIGA PESA

    ReplyDelete
  9. Pole unatetea unga eee. Mtuachee

    ReplyDelete
  10. hakuna haja ya matusi

    ReplyDelete
  11. TATIZO NINI JAMANI, ALIYE NA MAKOSA SERIKALI IPO, KIJANA WA WATU MWACHE,ILA TU DIAMOND JIHESHIM JESHA JINA NZURI.HONGERA KWA MTOTO TIFFA, ILA MWELEMISHE MAMA YAKO. HATA NYIE MNA MABINT AMBAO NI DADA ZAKO, JE WAKIFANYIWA HIVYO UTAPENDA AU YEYE ATAPENDA, PIA LEO HII UNA MTOTO WA KIKE JE YEYE AKIFANYWA HIVYO UNAVYOWAFANYA AKINA WEMA NA WENGINEO UTAFURAHIA, FUTA JINA BOVU JENGA HESHIMA, MAISHA YA SASA HESHIMA KWANZA.

    ReplyDelete
  12. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  13. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  14. TATIZO NINI JAMANI, ALIYE NA MAKOSA SERIKALI IPO, KIJANA WA WATU MWACHE,ILA TU DIAMOND JIHESHIM JESHA JINA NZURI.HONGERA KWA MTOTO TIFFA, ILA MWELEMISHE MAMA YAKO. HATA NYIE MNA MABINT AMBAO NI DADA ZAKO, JE WAKIFANYIWA HIVYO UTAPENDA AU YEYE ATAPENDA, PIA LEO HII UNA MTOTO WA KIKE JE YEYE AKIFANYWA HIVYO UNAVYOWAFANYA AKINA WEMA NA WENGINEO UTAFURAHIA, FUTA JINA BOVU JENGA HESHIMA, MAISHA YA SASA HESHIMA KWANZA.

    ReplyDelete
  15. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad