Hivi Ndivyo Staa Diamond Akiwa na Mama Tiffah Pamoja na Dada Zake Walivyo Sherekea BOXING DAY

MAISHA YA KISTAA: Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinum amesherekea siku ya Boxing Day kwa kupunga upepo baharini akiwa na mama mtoto wake, Zari the Boss Lady ‘Mama Tiffah’ pamoja na dada zake , Esma Platinum na Queen Darleen.

Vilevile meneja wa diamond Sallam na staa mkongwe AY walikuwepo kwenye boti ambayo Diamond aliltumia kumpeleka  fukwe za mbali.

Jionee Picha




Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. pole wenzio wanamfaidi... we wakupigia picha za maonyesho. duh ushamba unakutesa sana mbongo mwenzetu,,endelea kula makombo na maomyesho ya mapichaziiiiii. mr limbukeni.

    ReplyDelete
    Replies
    1. eheee wivu utakuua bwege wewe

      Delete
  2. I don't support this couple,to me these are stupid pple hanging around.If they fear God they should marry,then decent pple will respect them but now big no,I will never support a demonic couple.A couple that doesn't respect God is a couple I will never respect nor support

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hey youuu, what the meaning of marring!!? all peoples know about their relations, they had an issue (Tiffa)now what do you want to make you believe that, their already man and wife!!!? Stop that non sense bwana ala!!

      Delete
  3. maneno ya mkosaji. kama unampenda Dai. utamsifia na Kiba pia anawatu wanaompenda pia.

    ReplyDelete
  4. huyu jamaa cjui ni muda gani anatumia kulala, manake kila sehemu yupo, dah!! anatumia nguvu za ziada nini?

    ReplyDelete
  5. WIVU NDIO UTATUUA WABONGO WENZAKE WANAFAIDI JE NA WEWE UPO KWENYE ILO KUNDI AU UMBEA UTAKUFA SIKU SI ZAKO MWANGA MZEEE WEWE

    ReplyDelete
  6. ASMA KUWA NA FURAHA YA MAISHA ACHANA NA ANDUNJE ALIKUKONDESHA BUREEEE

    ReplyDelete
  7. wabango noma sana mnataka aweje huyo mond mwachen afurahi na maisha yake nyie watu vip kazi kuchuma dhambi tuu khaa mlitaka aendelee kusota tuu uswahilini
    fanya yako mondi wanune mpaka wapasuke taka taka hao

    ReplyDelete
  8. Dai kapatikana Tiffa ni wakatunzi,Nasikia hata mtoto Wa zari Wa mwisho Wa kiume Ivan kabambikiwa.Katunzi huyo tiffah copy and paste.kimoyomoyo bi Sandra anaelewa sana Tu kuwa Tiffa si damu Yao

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad