Kashfa ya Makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete...Mwenyewe Afunguka Mazito..

Leo katika gazeti la Raia Tanzania Riz ameibuka na kusema wale wanaosema makotena ambayo mpaka sasa hayajalipiwa ushuru na hayajulikana mwenye nayo ni ya kwake ni watu wa siasa za maji taka na wenye nia ya kumchafua yeye na familia yao kwa ujumla.

Kijana huyo ambaye ni nadra kuzumgumza na vyombo vya habari ameibuka baada ya mitandao ya kijamii kwa muda mrefu kumhusisha na ukwepaji kodi na kudaiwa kujirundikia utajiri usioweza kuelezwa vyanzo vyake.

Chanzo: Raia Tanzania

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Lisemwalo
    Msoga mchezo hata waziri jina limetoka kwenu
    Si mjomba wako huyu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad