Zile siasa chafu za nchi hii zinaelekea kujidhiirisha baada ya watanzania kushuhudia makampuni ya wakwepa kodi bila kutajwa kampuni hata moja yenye mahusiano na Lowassa. Kinyume chake kuna harufu ya uvundo inayowahusisha vigogo waliocheza mchezo wa kumchafua.
Ukweli utadhiirika kwamba alizamishwa kwente tope la ufisadi makusudi ili kukatiza safari yake ya "matumaini" na watu waoga wenye nia ya kuila nchi yetu bila kunawa na wenye hofu ya kulipiziwa kisasi
Nafasi za Kazi
Bonyeza www.ajirayako.com
Una haraka tu,ndio kwanza SERIKALI mpya ina muda wa mwezi.
ReplyDeleteTusubiri
Mmmh,mbona makampuni mengi ya vigogo serikalini hayajaguswa bado.
ReplyDeleteKwani ubadhilifu au ufisadi ni wa kukwepa kodi tu,hata kwenye suala la mikataba na mengineyo.Fanya subira,mkamua majipu ana mwezi tu madarakani.
ReplyDeleteHATA KAMA RICHMOND HAIMUHUSU KWANI?KUKAA KIMYA AKIWA WAZIRI MKUU BILA KUKEMEA MADUDU INAMUHUSU.YAANI SI KWA LOWASA TU,NI WENGI.HII NI TANZANIA MPYA.
ReplyDeleteSIKU YA LOWASA ITAFIKA
ReplyDeleteUkiona mahali panafuka moshi ujue pana moto.Kama Lowasa amezamishwa kwenye tope la ufisadi kwa makusudi ya watu,kwa nini hajachukua hatua kisheria badala yake amekuwa kimya tu?Oooh,Kumbe angekuwa rais alikuwa na mpango wa kulipiza kisasi?kwa nani?kwa lipi?Na mbona alikana alipokuwa anaulizwa na waandishi wa habari kuhusu swala la kulipiza kisasi?Hebu waandishi muwe mnaandika habari zenye tija,sio bora kuchonganisha.Mbegesi!
ReplyDeleteKama ni hivyo, basi hata 'mzee wa vijisent' pamoja na wale wa escrow nao wamesingiziwa, maana hatujasikia kampuni zao zikitajwa.........PICHA NDO'KWANZA TRAILER............
ReplyDeleteCCM hiyo ina wenyewe
DeleteUkiona mtu haguswi anajuwa mengi ya serikalini
ReplyDelete