Katika Wabunge Vijana Ambao Wameweza Kurudi Tena Bungeni Kuwakilisha Majimbo yao..Unavutiwa zaidi na Mbunge Gani Kijana?

Wote ni wabunge vijana ambao wameweza kurudi tena bungeni kuwakilisha majimbo yao.
Unavutiwa zaidi na mbunge gani kijana?

Nafasi za Kazi
Bonyeza www.ajirayako.com
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Halima
    Jimbo lenye wasomi
    Mawaziri na serikali yote
    Tena mwanamke mdogo

    ReplyDelete
  2. Halima mwanamke tena kawe na toka upinzani

    ReplyDelete
  3. halima anawafunika woooote,kisha bulaya.usinitajie january alikua anashirikiana na makampuni ya simu za mkononi kujinufaisha,kutuibia wateja kwa tozo zisizofafanulika.mwizi makamba.

    ReplyDelete
  4. halima Mdee, the iron lady!
    big up sana.

    ReplyDelete
  5. halima mdee bwana bonge la mwanasiasa anaejielewa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad