Kinondoni: Mhandisi Natty atua Dar es Salaam, ana lundo la nyaraka

Mhandisi Mussa Natty, aliyekuwa Mkurugenzi wa Kinondoni, ametua Dar es Salaam tayari kwa uchunguzi dhidi yake. Mhandisi Natty, ambaye alikuwa Mkurugenzi wa Babati kabla ya kusimamishwa kupisha uchunguzi,ameshakusanya nyaraka za kutosha na kutisha za kujibu tuhuma dhidi yake. Yuko tayari.

Mhandisi Natty anasubiri tarehe husika ya kuitwa na kuhojiwa ili auanike ukweli wa sakata la tuhuma dhidi yake ikiwa ni pamoja na kuuzwa kwa ufukwe wa Coco pamoja na ujenzi wa kifisadi wa barabara mbalimbali katika Manispaa ya Kinondoni. Mhandisi huyo yuko tayari kujinasua na kuwanasa wahusika hasa.

Kubenea ameanza, Natty atamaliza!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Msoga hiii
    Mtasikia kamati kuu ya CCM si kitambo

    ReplyDelete
  2. Pasua tujuwe ukweli

    ReplyDelete
  3. natty anahusika na kama vip awataje na wenzake kafisadi sana kinondoni na cha ajabu mbunge wa ubungo said kubenea anamtetea

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad